Simba hakuna mshambuliaji mzuri na nashangaa wanatafuta mshambuliaji wa Kitanzania. Hivi Tanzania yetu hii kuna mshambuliaji mzawa kweli? Ni bora Kiiza angerudishwa nina uhakika kungekuwa na combination nzuri.
Mnataka kumuacha Murshid, hivi hapo Simba kuna watu wanafikiria vizuri au inakuwaje, hamuwaoni wa kuwaacha?
Yanga wanajua kusajili sana kwasasa,sijajua tatizo la Simba ni fedha au ni nini. Waende nje wakalete mshambuliaji wa uhakika na wajiridhishe kwa kuangalia mechi alizicheza sio kutuletea reject za Azam kama walivyofanya kwa Angban n.k