Thanks Paka Jimy

Thanks Paka Jimy

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
Wakuu... JF ni mahali pazuri kwa tunaoitakia nchi yetu mema! mbali na siasa, intelligensia na mambo mengine mazito na ya maana... nadhani jamii, mahusiano na mapenzi ni ada yetu ya kila siku and no one can survive without...

Siku za karibuni nilipita Arusha very briefly, na lazima niseme kwamba nilipata company nzuri sana toka kwa PJ... personally i felt very proud kwa namna ambavyo social network hii imenifanya kupata company nzuri mbali na familia yangu, we had a blast that day and i am sure he enjoyed my company na kujua zaidi intreset zetu pamoja na maisha ya kila siku

this is what we live for, peace and love and for this one i am obliged to give a big up to PJ for his hospitality

DN
 
oh my my...ulikuwa hapa?....can't believe this....PJ una tuhuma ya kujibu jiandae
 
oh my my...ulikuwa hapa?....can't believe this....PJ una tuhuma ya kujibu jiandae
ohoooooo no malice intended my friend, sikujua kwamba na wewe uko arachuga!!! nilim-PM akarespond, you really missed a blast, i was a wolf pact full of joy;
 
Hata mi nilipita briefly, akanipeleka kanisani!! Kwa kweli anastahili pongezi!
 
Dah nami nitaenda Arusha kushangaa!!:cheer2: Mbarikiwe wadau!
 
Wakuu... JF ni mahali pazuri kwa tunaoitakia nchi yetu mema! mbali na siasa, intelligensia na mambo mengine mazito na ya maana... nadhani jamii, mahusiano na mapenzi ni ada yetu ya kila siku and no one can survive without...

Siku za karibuni nilipita Arusha very briefly, na lazima niseme kwamba nilipata company nzuri sana toka kwa PJ... personally i felt very proud kwa namna ambavyo social network hii imenifanya kupata company nzuri mbali na familia yangu, we had a blast that day and i am sure he enjoyed my company na kujua zaidi intreset zetu pamoja na maisha ya kila siku

this is what we live for, peace and love and for this one i am obliged to give a big up to PJ for his hospitality

DN

Mkuu De Novo, just seeing this!

Woow, nadhani umefika salama Chimbo!
I think iam the one who was supposed to open a thread to thank you for considering my presence in A-Town, giving it a due respect, and finally taking a step ahead by PM'ing me!...really it takes a person of your type to be this gentle!

Men, out there, we had a memorable tym with this buddy and his co-workers, and we witnessed with our eyes as the earth made a one-minute-stop, to usher this great unification!
I learnt that a happiest person on earth is the one who succeeds making more friends!

Pal, thanks again!
 
oh my my...ulikuwa hapa?....can't believe this....PJ una tuhuma ya kujibu jiandae

Kweli hapa nishaona kesi, inabidi mapema nitafute wakili, maana vinginevyo naswekwa mule mule kunako nanihiino!
 
jamani mnatutia moyo sana. hakika JF ni zaidi ya tuijuavyo.........mbarikiwe sana.....
 
Hata mi nilipita briefly, akanipeleka kanisani!! Kwa kweli anastahili pongezi!
Yup..Nakumbuka ulikuwa safarini Arusha-Musoma via Namanga-Nairobi!
Was just a short tym, but fully charged with musical moments!
 
Karibu sana, Lakini yale mambo fulani yaachie Chalinze!...Huku ni Full-Ngurumo Ya Upako!
Nadhani ni mimi tu nimebakia.
Ni mimi tu kupata mapokezi yako Arusha.
Subiri...........:target:

Nimefurahi kweli na hii News ..Lakini Nyanda za juu kukoje ..unaenda sehemu unakosa pa kulala ..ushirikiano Zero ..siku zote me nalala Police kwa msaada ..i wish PJ ungekuwepo mtu mwema
Ubarikiwe na bwana ...
 
Nadhani unaongelea Nyanda za Juu Kusini.

Time talks...kidogo kidogo mentality ya kuogopana inayeyuka, watabadilika tu hawa jamaa zangu!

Otherwise, let LOVE decide!
 
Safi PJ, keep on the spirit! Wengine tuige hiyo maneno tuzidi kujenga umoja wa familia ye2 ya JF.
One Love!
 
Back
Top Bottom