Thanks - shukrani

Thanks - shukrani

Zanzibar Yetu

New Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
2
Reaction score
1
Naandika kutoa shukrani zangu kwa uongozi wa Jamii Forum kwa kulikubali ombi langu la kuwa mwanacham. Nitatumia fursa hii kutoa maoni, kujadili na hata kushiriki katika kutoa mafunzo bora ya lugha ya kiswahili.

Ni matumaini yangu kwamba katika ukumbi huu hakutakuwa na kudhauliana au kutoa lugha isiyo nzuri kwa wachangiaji wa mada mbali mbali.

Shukrani

Zanzibar Yetu
 
Karibu mkuu ..
Jf utarembwa panapostahili na utapakwa taka usitake ..
Enjoy 🙂
 
Naandika kutoa shukrani zangu kwa uongozi wa Jamii Forum kwa kulikubali ombi langu la kuwa mwanacham. Nitatumia fursa hii kutoa maoni, kujadili na hata kushiriki katika kutoa mafunzo bora ya lugha ya kiswahili.

Ni matumaini yangu kwamba katika ukumbi huu hakutakuwa na kudhauliana au kutoa lugha isiyo nzuri kwa wachangiaji wa mada mbali mbali.

Shukrani

Zanzibar Yetu

Karibu Zanzibar Yetu jisikie upo nyumbani ... majukwaa yote ni mazuri tu ... ila kwa ukumbi mmoja unaoitwa Jukwaa la Siasa kule naona watu huwa wanachemka kweli kweli na watu huwa wanatoa lugha ngumu sana kwa wachangiaji ... ila ndio mambo ya kawaida ... karibu sana!.
 
Back
Top Bottom