Madomo zege na watu wengine wa kawaida technolojia inazidi kuturahisishia mambo kila kukicha, sio katika maisha ya kawaida ya kila siku hadi kwenye utongozaji.
Nakumbuka zamani ulikuwa unatongoza mtu miezi 6 hadi mwaka bado hujawa nae.Kazi ya kutongoza sio mchezo, kumshawishi mtu mzima na akili zake hadi akukubalie.
Whatsapp, Facebook, Badoo nk zimeahirisha maisha, kazi kubwa ni kupata namba ya mtu tu, ukishaipata kazi imeisha. Hii mitandao imeondoa shida ya kuona aibu, shida ya kuviziana na kufuatana miezi 6.
Kwa tekinolojia ya sasa ukishindwa kupata mwanamke utakua sio udomo zege huo, unahitaji maombi ya kufunga na kulia, tena maombi ya mnyororo.
Ishukuriwe teknolojia.
ningechangia ila naogopa nitamuuzi!
halafu mukanunue wakenya waje wawapige miti kweli utanawazi nao huu hahahahahahana kutoa kwenye simu kuja kwa miss hapa
ha hahaha mkuu mimi siyo mrombooohalafu mukanunue wakenya waje wawapige miti kweli utanawazi nao huu hahahahahaha
tena maombi haswaa! ya kufunga siku 40 kama kwa rezmaMadomo zege na watu wengine wa kawaida technolojia inazidi kuturahisishia mambo kila kukicha, sio katika maisha ya kawaida ya kila siku hadi kwenye utongozaji.