Thanks to technology, kazi ya utongozaji inakuwa rahisi kila siku

Mimi kwangu bado ni changamoto sema poa tuu oneday yes...
 
Madomo zege na watu wengine wa kawaida technolojia inazidi kuturahisishia mambo kila kukicha, sio katika maisha ya kawaida ya kila siku hadi kwenye utongozaji.

Nakumbuka zamani ulikuwa unatongoza mtu miezi 6 hadi mwaka bado hujawa nae.Kazi ya kutongoza sio mchezo, kumshawishi mtu mzima na akili zake hadi akukubalie.

Whatsapp, Facebook, Badoo nk zimeahirisha maisha, kazi kubwa ni kupata namba ya mtu tu, ukishaipata kazi imeisha. Hii mitandao imeondoa shida ya kuona aibu, shida ya kuviziana na kufuatana miezi 6.

Kwa tekinolojia ya sasa ukishindwa kupata mwanamke utakua sio udomo zege huo, unahitaji maombi ya kufunga na kulia, tena maombi ya mnyororo.

Ishukuriwe teknolojia.

Inaonyesha jinsi wewe mwenyewe ulivyo domo zege....toka zama hizo wanawake wa kibongo hawana noma yaani ni wepesi mno kuvuliwa chupi ni sawa tu uwaonavyo mademu wa kibongo muvi. Yaani wanauza sura ili wapate kuonekana kiurahisi kupigwa miti. Wanqume siku hizi hatutongozi, we nenda baa tu kupata msosi utaona demu anajileta mwenyewe.
 
yethuuuu wangu...siku kwetu kishumundu,tunasema ukipata mtengo tu[namba ya simu] kazi kwishaa huyo ni wako.....
 
Madomo zege na watu wengine wa kawaida technolojia inazidi kuturahisishia mambo kila kukicha, sio katika maisha ya kawaida ya kila siku hadi kwenye utongozaji.

Nakumbuka zamani ulikuwa unatongoza mtu miezi 6 hadi mwaka bado hujawa nae.Kazi ya kutongoza sio mchezo, kumshawishi mtu mzima na akili zake hadi akukubalie.

Whatsapp, Facebook, Badoo nk zimeahirisha maisha, kazi kubwa ni kupata namba ya mtu tu, ukishaipata kazi imeisha. Hii mitandao imeondoa shida ya kuona aibu, shida ya kuviziana na kufuatana miezi 6.

Kwa tekinolojia ya sasa ukishindwa kupata mwanamke utakua sio udomo zege huo, unahitaji maombi ya kufunga na kulia, tena maombi ya mnyororo.

Ishukuriwe teknolojia.
tena maombi haswaa! ya kufunga siku 40 kama kwa rezma
 
Back
Top Bottom