Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

Gaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,558
Reaction score
1,970
Hi marafiki, wanajamii wenzangu, siwezi amini miaka inavokatika, nikiangalia naona kama ni juzijuzi tu, sijui wakati umeenda wapi, all in all namshukuru Mwenyezi Mungu sana sana kwani leo ni anniversary yetu na my hubby, namshukuru Mume wangu pia kwa kunichagua mimi kuwa mke wake, nawashukuru pia watoto wangu kwa kunipa sababu nyingine ya kuishi, nawapenda sana hawa watu walio katika maisha yangu. Our anniversary is a time to look back at the good times and to look ahead to live our dream...below is my story..

Nikirudi nyuma kabisa nakumbuka nikiwa msichana mdogo na kabegi kangu ka shule nakutana na huyu mkaka aliyehamia mtaani kwetu, na kupanga chumba nyumba ya jirani baada ya kumaliza masomo ya chuo, utani uleeee wa kizamani ukaanza, oooh mchumba, oooh hakuna shule hapo, oooh sijui nini badae nikaja kugundua huyu jamaa ananizimia, mwisho wa siku akaniambia ukweli wake, niliogopa sana...ukizingatia alikuwa mkubwa kuliko mimi.

Moyoni nilikuwa na mawazo sana hasa wasichana wengi wanajua kipindi ambapo wanafanya maamuzi ya kuwa na BF wa kwanza kabisa, nikammwaga,nilihisi bado wakati na siwezi kuwa na uhusiano na mkaka mkubwa,miezi ikaendelea, mara tunakutana dukani, mara kwenye chips mtaani.....miezi inaendelea...hatimae mwaka....jamaa kawa stable kidogo kazini anataka kuhamia chumba kingine eneo lingine kabisa, hapo ndio kimbembe kilianza

Jioni moja kaniita kanambia anahama keshapata chumba mahala pengine, na alipohama ndipo nilianza ku mmiss mpaka nikaumwa kabisa, kumbuka kipindi cha miaka ya tisini na hivi simu ilikuwa ni ishu, mawasiliano ni mpaka umtafute mtu, na wakunitafuta ni yeye coz mie alipohama nilijifanya sitaki kujua anahamia wapi,muda ukapita ila jamaa hakukata tamaa, akarudi siku moja mtaani nilipomwona mpaka machozi yalinitoka....... hapa ndio ule msemo wa "huwezi jua thamani ya kitu mpaka ukipoteze ndipo ulifika mahala pake"........kiss ya kwanza bonde la mchicha loooooooooo.....jamaa hakuamini... baada ya muda mfupi uhusiano ukaanza...

"Love for me is to trust yourself that your in love....thats what happened to me, pamoja nilikuwa mdogo ila nilijua kabisa huyu mwanaume nimempenda kwa dhati,love is trusting your partner enough to tell them everything about yourself,ukijumlisha na yale yooote you might be ashamed of, Love is feeling comfortable and safe with someone........thats what i felt when im around him Basi rafiki zangu, maisha yakaenda nikamaliza shule yaaani O level nikaolewa mwenzenu loooo.... yaliyofata kutokea hapo ni rahaaaaaaaaaa, uchungu ......rahaaaaaaaaaaaaa uchungu....... na sasa ndio raha kamili kila mahali....ndoa zina changamoto nyingi sana ni namna unavoichukulia wewe ndio itakuwa hivohivo, ndoa ni tamu asikwambie mtu, hata kama ni ndoano, ila ndoano yake ni ya aina ya pekee...

Nampenda sana Mume wangu mpenzi, Naendelea kuomba Mungu atupe afya mie na familia yangu, kwa maisha yetu yote, atulinde na mabaya yote, azidi kutupa nguvu na amani ndani ya ndoa yetu.......Ndoa yetu na iheshimiwe na watu wote,,,,AMIN
 
Hongera Sana..., kwa karne hii ni kujivunia na kumshukuru Mungu.., na kuendelea kufanya uliyoyafanya hadi kufikia hapa,

Please Taomba unilkumbushe mkifika 50 years Anniversary
 
hongera mpendwa. 17 yrs is no joke, neither is it a bed of roses ( well,it is if u include thorns)
Congrats and many more blessings!
 
Leo humu kuna vimbwanga kama nini nimepost thread ina paragraph na vituo nashangaa mbanano huu ila naamini mtaelewa nimemaanisha nini, i cant even click the "like"
 
wow!...fairytale love story...
happy-anniversary.jpg

Gaga, thanks for sharing!
Mbarikiwe zaidi na zaidi...!
 
Ndoa halisi huchukua nafasi katika moyo, na wala si katika kanisa, au, ukumbini au shuleni etc. Ni uchaguzi umliofanya sio tu siku ya harusi yenu, lakini kwa kurudia tena na tena. Katika furaha na maudhi etc...

Miaka 17 mmeshajua njia ya kuishi kwa kuheshimiana na kujali kama mume wako au mke. Ni moja ya zawadi ambayo mnatakiwa kumshukuru Mungu kwa kuipata na muitunze ili isije ibiwa kwani kuna wezi wengi huko nje.

Happy 17 years anniversary of marriage & God bless your family!
 
Hi marafiki, wanajamii wenzangu, siwezi amini miaka inavokatika, nikiangalia naona kama ni juzijuzi tu, sijui wakati umeenda wapi, all in all namshukuru Mwenyezi Mungu sana sana kwani leo ni anniversary yetu na my hubby, namshukuru Mume wangu pia kwa kunichagua mimi kuwa mke wake, nawashukuru pia watoto wangu kwa kunipa sababu nyingine ya kuishi, nawapenda sana hawa watu walio katika maisha yangu. Our anniversary is a time to look back at the good times and to look ahead to live our dream...below is my story.. Nikirudi nyuma kabisa nakumbuka nikiwa msichana mdogo na kabegi kangu ka shule nakutana na huyu mkaka aliyehamia mtaani kwetu, na kupanga chumba nyumba ya jirani baada ya kumaliza masomo ya chuo, utani uleeee wa kizamani ukaanza, oooh mchumba, oooh hakuna shule hapo, oooh sijui nini badae nikaja kugundua huyu jamaa ananizimia, mwisho wa siku akaniambia ukweli wake, niliogopa sana...ukizingatia alikuwa mkubwa kuliko mimi. Moyoni nilikuwa na mawazo sana hasa wasichana wengi wanajua kipindi ambapo wanafanya maamuzi ya kuwa na BF wa kwanza kabisa, nikammwaga,nilihisi bado wakati na siwezi kuwa na uhusiano na mkaka mkubwa,miezi ikaendelea, mara tunakutana dukani, mara kwenye chips mtaani.....miezi inaendelea...hatimae mwaka....jamaa kawa stable kidogo kazini anataka kuhamia chumba kingine eneo lingine kabisa, hapo ndio kimbembe kilianza Jioni moja kaniita kanambia anahama keshapata chumba mahala pengine, na alipohama ndipo nilianza ku mmiss mpaka nikaumwa kabisa, kumbuka kipindi cha miaka ya tisini na hivi simu ilikuwa ni ishu, mawasiliano ni mpaka umtafute mtu, na wakunitafuta ni yeye coz mie alipohama nilijifanya sitaki kujua anahamia wapi,muda ukapita ila jamaa hakukata tamaa, akarudi siku moja mtaani nilipomwona mpaka machozi yalinitoka....... hapa ndio ule msemo wa "huwezi jua thamani ya kitu mpaka ukipoteze ndipo ulifika mahala pake"........kiss ya kwanza bonde la mchicha loooooooooo.....jamaa hakuamini... baada ya muda mfupi uhusiano ukaanza... "Love for me is to trust yourself that your in love....thats what happened to me, pamoja nilikuwa mdogo ila nilijua kabisa huyu mwanaume nimempenda kwa dhati,love is trusting your partner enough to tell them everything about yourself,ukijumlisha na yale yooote you might be ashamed of, Love is feeling comfortable and safe with someone........thats what i felt when im around him Basi rafiki zangu, maisha yakaenda nikamaliza shule yaaani O level nikaolewa mwenzenu loooo.... yaliyofata kutokea hapo ni rahaaaaaaaaaa, uchungu ......rahaaaaaaaaaaaaa uchungu....... na sasa ndio raha kamili kila mahali....ndoa zina changamoto nyingi sana ni namna unavoichukulia wewe ndio itakuwa hivohivo, ndoa ni tamu asikwambie mtu, hata kama ni ndoano, ila ndoano yake ni ya aina ya pekee...Nampenda sana Mume wangu mpenzi, Naendelea kuomba Mungu atupe afya mie na familia yangu, kwa maisha yetu yote, atulinde na mabaya yote, azidi kutupa nguvu na amani ndani ya ndoa yetu.......Ndoa yetu na iheshimiwe na watu wote,,,,AMIN

Hongera sana, sana, you have a good story, na hasa hapo penye kijani, huo ndo ukweli ktk ndoa, vijana wa JF mpoo, wasifikiri rahaaaaaaaaa isku zote, noooooo. Big up keep praying muone wajukuu wa wajukuu zenu
 
Hongera Sana..., kwa karne hii ni kujivunia na kumshukuru Mungu.., na kuendelea kufanya uliyoyafanya hadi kufikia hapa, Please Taomba unilkumbushe mkifika 50 years Anniversary
Thanx tuombeane kwa Mungu aisee atufikishe huko
 
Gaga hongera sana, kweli nimeipenda story yako, Mungu aibariki ndoa yako
 
Wow.....congratulations!!! Mwenyezi Mungu awabariki pamoja na uzao wenu wote!
 
Gaga:
Happy anniversary, and many congrats !
 
185.gif
Happy 17th Anniversary Gaga
 
Haya mama, mwambie na Mr....atoe stori yake. teh teh.............nawaombea pia muwe na afya njema.
 
Hi marafiki, wanajamii wenzangu, siwezi amini miaka inavokatika, nikiangalia naona kama ni juzijuzi tu, sijui wakati umeenda wapi, all in all namshukuru Mwenyezi Mungu sana sana kwani leo ni anniversary yetu na my hubby, namshukuru Mume wangu pia kwa kunichagua mimi kuwa mke wake, nawashukuru pia watoto wangu kwa kunipa sababu nyingine ya kuishi, nawapenda sana hawa watu walio katika maisha yangu. Our anniversary is a time to look back at the good times and to look ahead to live our dream...below is my story..

Nikirudi nyuma kabisa nakumbuka nikiwa msichana mdogo na kabegi kangu ka shule nakutana na huyu mkaka aliyehamia mtaani kwetu, na kupanga chumba nyumba ya jirani baada ya kumaliza masomo ya chuo, utani uleeee wa kizamani ukaanza, oooh mchumba, oooh hakuna shule hapo, oooh sijui nini badae nikaja kugundua huyu jamaa ananizimia, mwisho wa siku akaniambia ukweli wake, niliogopa sana...ukizingatia alikuwa mkubwa kuliko mimi.

Moyoni nilikuwa na mawazo sana hasa wasichana wengi wanajua kipindi ambapo wanafanya maamuzi ya kuwa na BF wa kwanza kabisa, nikammwaga,nilihisi bado wakati na siwezi kuwa na uhusiano na mkaka mkubwa,miezi ikaendelea, mara tunakutana dukani, mara kwenye chips mtaani.....miezi inaendelea...hatimae mwaka....jamaa kawa stable kidogo kazini anataka kuhamia chumba kingine eneo lingine kabisa, hapo ndio kimbembe kilianza

Jioni moja kaniita kanambia anahama keshapata chumba mahala pengine, na alipohama ndipo nilianza ku mmiss mpaka nikaumwa kabisa, kumbuka kipindi cha miaka ya tisini na hivi simu ilikuwa ni ishu, mawasiliano ni mpaka umtafute mtu, na wakunitafuta ni yeye coz mie alipohama nilijifanya sitaki kujua anahamia wapi,muda ukapita ila jamaa hakukata tamaa, akarudi siku moja mtaani nilipomwona mpaka machozi yalinitoka....... hapa ndio ule msemo wa "huwezi jua thamani ya kitu mpaka ukipoteze ndipo ulifika mahala pake"........kiss ya kwanza bonde la mchicha loooooooooo.....jamaa hakuamini... baada ya muda mfupi uhusiano ukaanza...

"Love for me is to trust yourself that your in love....thats what happened to me, pamoja nilikuwa mdogo ila nilijua kabisa huyu mwanaume nimempenda kwa dhati,love is trusting your partner enough to tell them everything about yourself,ukijumlisha na yale yooote you might be ashamed of, Love is feeling comfortable and safe with someone........thats what i felt when im around him Basi rafiki zangu, maisha yakaenda nikamaliza shule yaaani O level nikaolewa mwenzenu loooo.... yaliyofata kutokea hapo ni rahaaaaaaaaaa, uchungu ......rahaaaaaaaaaaaaa uchungu....... na sasa ndio raha kamili kila mahali....ndoa zina changamoto nyingi sana ni namna unavoichukulia wewe ndio itakuwa hivohivo, ndoa ni tamu asikwambie mtu, hata kama ni ndoano, ila ndoano yake ni ya aina ya pekee...

Nampenda sana Mume wangu mpenzi, Naendelea kuomba Mungu atupe afya mie na familia yangu, kwa maisha yetu yote, atulinde na mabaya yote, azidi kutupa nguvu na amani ndani ya ndoa yetu.......Ndoa yetu na iheshimiwe na watu wote,,,,AMIN

Hongera sana/ Hongereni sana. Hapo kwenye RED. Je umekuwa sasa na kulingana na umri wake?
 
Happy anniversary. 17 years is worth celebrating! Happy for you and the family.
 
Back
Top Bottom