especially akiwa anakaa mabibo hostel:yawn:
mkuu,nlikua siamin bt nimejionea mwenyewe so nimeamin ile list ya mkuu ze duduz.
kapigemsuli ohoo sisi ngoja tukapige msuli kwenye vyuo vya vipanga(sua),sio udsm kwa walalaji sua ndo kwa wakeshajiiiii
udsm ndio kiboko,sua kwa mabwege yanayojidai kukomaa na kitabu kumbe ovyoooo!sua ni washamba watupu hakuna lolote,mtu na div 3 yake ya 17 anajigamba,ulinganishe na udsm,udsm ndio chuo pekee tz ambacho kina wahadhiri wenye uwezo na sifa kimataifa na siyo sua,saut,mzumbe,muccobs,imf,dit,teku wala aru,udsm ni chuo pekee tz,cheki sifa za wahadhiri wenyewe utapenda! Eti saut,ujinga ujinga!

Unafaa kuimba ngonjera,infact sina uhakika na ulichokisema.....JIPANGEEE
Hivi jamani kwani wanafunzi wote wanaopata one huenda Udsm? Au udsm haitoi fursa kwa div 3, me nazani hapa tusiwe na ubishi wa div wala vyuo kwani kigezo cha kumtambua mwanafunz bora ni kumpima performance yake na utendaji wake wa kazi atakapo maliza masomo. Me sizani kama wote waliopitia udsm wana hadh ya kile chuo na kinavosifiwa, waweza soma chuo kinachozaraulika na mwishoni ukawa muhimu. Ni kweli Udsm ni chuo kizur ila aliechaguliwa huko asiwabeze wenziwe watakaochaguliwa kwengine kwani udsm sio mwisho wa safari yenu ndefu bado kuna changamoto nyingi
mkuu,kama umesoma thread yangu vzr,mimi cjaleta malumbano humu au kudharau mtu ambaye hajachaguliwa ud,kwan najua maisha hayako udsm tu bali hata vyuo vingne maisha yapo,ila kuna huyu dogo anajiita mpigamsuli ndo kasababisha haya yote kwa post yake ya kejeli na ndio maana unaona wana udsm nao wamekasrka na kuamua kutoa povu.
Wakuu,nimeona jna langu kwenye list ya udsm,nimechaguliwa bachelor of arts in economics.
congrats, we wil be there 2gether hommie, sema mm ntakuw ki2 cha finance