Thanx to JF, mafanikio nimeanza kuyaona

Thanx to JF, mafanikio nimeanza kuyaona

Mopalmo

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
534
Reaction score
139
Salamu kwa jf members,mimi ni mhitimu wa adv diploma in acc,nikiwa mwaka wa pili nilifungua kampuni pamoja na kaka zangu,malengo hasa ilikua ni ku deal na music system hire na electrical installation and repairs,mambo hayakwenda kama nilivyotegemea,hali ilikua mbaya sana ila ninawashukuru kwa dhati kwa kunipa moyo nikaweza kuvumilia,kwa kweli mchango wa hili jukwaa ni mkubwa mno kwangu,bila ninyi nadhani ningeishia njiani,sasa hivi tumeanza kupata tenda na tumeanza kujiimarisha
 
Back
Top Bottom