Thapelo Maseko: Silaha ya siri itumiwayo na Mamelodi Sundowns

Tariq f

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2021
Posts
233
Reaction score
347
Habari wakuu!

Kuelekea Robo Fainali Tarehe 30 pale kwa mkapa hebu tuchukue hii kwanza...

Wakati macho ya wengi wakipiga hesabu za Themba Zwane, Teboho Mokoena, Peter Shalulile, Marcel Arende, Bongani Zungu nk.
Kwa bahati mbaya inakuwa kama ni danganya toto fulani hivi inayotumiwa mara nyingi na kocha Rulani Makwena, ambaye mara nyingi hutumia silaha moja hatari sana isiyozungumzwa nae ni Maseko ( silent killer).

Jina kamili anaitwa Thapelo Maseko aka Ndlovu , ni moja kati ya wanajeshi waliopeperusha bendera ya Bafana Bafana pale Ivory Coast na kukiwasha hasa. Alisajiliwa kutokea SuperSport na kuhamia kwa wababe wa Masandawana ( Mamelodi Sundowns) mapema mwaka jana. Ilichukua mechi 6 tu kwa kijana huyu wa 2002 kuitwa kikosi cha Taifa akitokea klabuni hapo.

Thapelo Maseko amekuwa miongoni mwa wachezaji tishio sana kwa Mamelodi Sundowns kutokana na style yake ya uchezaji inayotegemea Speed, akili, uwezo wa kutengeneza penalty na mashuti makali yanayowanyima usingizi wapinzani kila kukicha.

ONYO

Angalizo sana kwa backline ya Wapinzani wao Young Africans ikiongozwa na Captain Bakari Nondo juu ya mshambuliaji huyu.

MSISEME HATUKUWAAMBIA.

Kila la kheri
Maseko-1.jpg
 
Kila la kheri View attachment 2941118
Mvp wa super Ligue,mwamba anapiga chenga sana kuwahesabu watatu mpaka wanne kawaida sana ,ni kama Ashour wa Ahly hawa wawili wanaufundi mwingi
 
Wazungumzie hata timu yao tu, unaweza sema hawana mechi ngumu vile, au Al ahal wanamfananisha na Namungo enhee!!
Wao kama kawaida yao mafanikio yao ni robo sasa wanataka watuaminishe na sisi tuishi kama wao ndio maana hizi thread haziishi hawatafurahia tukiendelea mbele
 
Nyie mtapita wala msijali mtaitoa mamelodi na kuingia nusu na hadi fainali na kuchukua ubingwa nyinyi ni timu tishio, wachezaji tishio duniani kama pakome (pele wa afrika) na aziz ki ( gaucho wa afrika) sisi wengine ni UNDERDOGS tu...
 
Mbona huu uzi haujazungumzia unafki wowote mkuu wala kumsema mtu
 
Nyie mtapita wala msijali mtaitoa mamelodi na kuingia nusu na hadi fainali na kuchukua ubingwa nyinyi ni timu tishio, wachezaji tishio duniani kama pakome (pele wa afrika) na aziz ki ( gaucho wa afrika) sisi wengine ni UNDERDOGS tu...
Kwasasa Yanga haihitaji faraja za kitoto kama hizi
 
Kwa hiyo Bakari nondo vs maseko ,Tuwaambia au Tuwaache kwanza🤣🤣
 
Back
Top Bottom