Thaqaafa Secondary; Imepatwa na nini mbona mambo hovyo?

Thaqaafa Secondary; Imepatwa na nini mbona mambo hovyo?

mimi niko mwanza lakini hiyo shule sijawai sikia.. fafanua ilikuwa ya ngapi kitaifa pindi unahitimu pale.
 
Kwanza nianze kwa ku declare kuwa mimi ni zao la wanafunzi wa kidato cha sita katika shule hii iliyoko katika katika jiji la Mwanza. Nina miaka zaidi ya miaka mitatu toka niondoke Mwanza hivyo nilikuwa sijapata nafasi tena ya kutembelea shule yangu hadi majuzi nilipoenda kumpeleka mdogo wangu kuanza shule kidato cha tano.
Wale wanaoifahamu shule hiyo ilikuwa ukiingia tuu katika ofisi za shule hiyo utakuta mipangilo iliyo na mvuto na heshima kuu kwa wote,lakini jambo nililoliona ni kuwa majibu ni ya kiburi kiburi na hata spirit ya wafanya kazi imeshuka sana. Mambo yako kienyeji mno,hupati maelezo yakutosheleza unapohitaji kujua kitu na dharau imeshika kasi. Waalimu waliokuwa wanatufundisha wakati ule wakiwa na nyuso za matumaini sasa hivi wanaonekana kama wale wa kata kule kijijini wanaosubiri kwa hofu mwisho wa mwezi wafuate mishahara mjini. Kihalisia hawana mvuto na ndio maana baada ya kutoka hapo nilifuatilia maendeleo ya taaluma kwa miaka hii ya karibuni na nilishtuka sana kuwa sio Thaqqafa secondari ile niliyosoma. Ukweli ni kuwa inapotea kwenye ramani. Tatizo ni nini?
Wana Thaqaafa tuliosoma pale na wadau wengine tufanyeje tuiokoe shule isipoteze heshima kiasi hiki?

Labda Maruzuku ameondoka coz yeye ndo injini wa hiyo shule
 
Thaqaaaafa secondary, ilikuwa shule nzuri sana enzi hizo!! nilishafundisha hapo Basic Mathematics Preform F1, F1 & F2, I enjoyed enzi hizo nadhani miaka 10 na usheee imepita tangu nifundishe japo kwa muda mfupi lakini nilifundisha na nilifurahia mazingira mazuri na nidhamu pale shuleni.
Nadhani kuna mabadiliko katika uendeshaji, ni mhimu wadau/wahusika wakarekebisha kasoro zilizoko ili malengo yaendelee kama hapo awali.
 
M i nimekua nikifiki mbele ya hii shule na hata dasa nilo hapa Lena Hotel but be honest naona hii shule ina maendelwo sana tofauti na zamni. sasa hizi wAko na gari ya shule na magorofa yameongezeka tofaufi na zamani
 
Labda Maruzuku ameondoka coz yeye ndo injini wa hiyo shule
Hapana yupo nilimwona kabisa,ila kuna tatizo amelianzisha sijui kama lina mahusiano na kudorora kwa shule,nalo ni kuwa amejaza sasa watoto na ndugu zake katika nafasi za kazi hivyo kuanza kuwa kama shule ya familia yake. Sina uhakika na hilo ila ndivyo nilivyo ambiwa na reliable source mkuu LIKUD
 
Last edited by a moderator:
M i nimekua nikifiki mbele ya hii shule na hata dasa nilo hapa Lena Hotel but be honest naona hii shule ina maendelwo sana tofauti na zamni. sasa hizi wAko na gari ya shule na magorofa yameongezeka tofaufi na zamani
Kwa shule maghorofa sio maendeleo. Hata hivyo hayo maghorofa yalikuwepo miaka hiyo mitatu iliyopita. Tujiulize kwa nini taaluma inashuka kwa kasi ya ajabu na kama nilivyosema mambo yanaenda kiswahiliswahili? Wakati tunasoma kwa kweli sidhani kama mipangilio ya kiofisi ilikuwa na mfanowe kwa shule yeyote.
 
Madam opiyo aliondoka, ndo karudi juzijuzi! S unakumbuka mikiki yake kwenye mambo ya shule?
 
Hapana yupo nilimwona kabisa,ila kuna tatizo amelianzisha sijui kama lina mahusiano na kudorora kwa shule,nalo ni kuwa amejaza sasa watoto na ndugu zake katika nafasi za kazi hivyo kuanza kuwa kama shule ya familia yake. Sina uhakika na hilo ila ndivyo nilivyo ambiwa na reliable source mkuu LIKUD

Ni kweli nameweka ndugu zake na watoto wake, yule mtoto wake masnoor sasa hivi ndio Bursar wa pale. Plus ameajiri waalimu wengi wa kiganda ambao hawana uwezo. Anawachukua kwa sababu ni cheap labour
 
Jamani hii shule jamani kwa viboko na kufundisha na heshima enzi zile ilikuwa inaongoza.ila kweli siku hizi taaluma imeshuka sana.
 
mimi niko mwanza lakini hiyo shule sijawai sikia.. fafanua ilikuwa ya ngapi kitaifa pindi unahitimu pale.

na shaka na uwepo wako! Kwa aliye mjini na ana interest na elimu ataijua tu. Kwa ufupi udini umeiharibu, kuna walimu kama Mazara Maganga wamehama sababu ya udini na ahadi hewa
 
na shaka na uwepo wako! Kwa aliye mjini na ana interest na elimu ataijua tu. Kwa ufupi udini umeiharibu, kuna walimu kama Mazara Maganga wamehama sababu ya udini na ahadi hewa

daah sir mazara ayupo tena daah bonge ya ticha wa biology alnfundsha had nkampgia saluti vp sir. Ogweyo tcha wa math bado yupo?!
 
Ni kweli nameweka ndugu zake na watoto wake, yule mtoto wake masnoor sasa hivi ndio Bursar wa pale. Plus ameajiri waalimu wengi wa kiganda ambao hawana uwezo. Anawachukua kwa sababu ni cheap labour
Kama Mansoor ndio Bursar basi ndio sababu mambo kuwa hovyo hovyo maana yule kijana uwezo wake kichwani hauridhishi na ana kiburi sana. Alikuwepo Bursar mmoja simkumbuki jina ila tulikuwa tunamwita Eduado tukimfananisha na baba yake Angelo kwenye tamthilia ya The Promise. Tulikuwa tunamfananisha na Eduado kwa upole,ucheshi,huruma na alikuwa mshauri mzuri sana na mwenye majibu ya Busara sana. Hata wazazi wetu wengi walikuwa wanatupeleka pale kwa ajili ya mvuto wake. Kuhusu walimu wa Uganda,nasikia yule Headmaster ndio anashindikiza waletwe hao walimu baada ya kukosa ajira.
 
Headmaster yupi Luima Sulaiti Kasenene?
 
Back
Top Bottom