Tharman Shanmugaratnam kuwasili Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa

Tharman Shanmugaratnam kuwasili Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa (State Visit) itakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 10 ya mwezi huu.

Ziara hiyo itakuwa ya kwanza kufanywa na Rais wa Singapore nchini tangu Tanzania na Singapore zilipoanzisha rasmi mahusiano ya kidiplomasia tarehe 12 Desemba 1980.
20260605_180411.jpg
20260605_180415-jpg.3601729
 

Attachments

  • 20260605_180415.jpg
    20260605_180415.jpg
    277.2 KB · Views: 24
Ngoja chadema waje waseme inawasaidia nn wananchi wa vijijini 😂
 
Rais mwenye akili anakuja kukutana na kilaza wa Kizanzibari a.k.a Manyonyo
Anyway, wajadili mambo ya msingi maana Samia hachelewi kuropoka kama Ruto alivyokuja Tanzania kuongelea ile oil refinery kujengwa Tanga
 
Back
Top Bottom