Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa (State Visit) itakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 10 ya mwezi huu.
Ziara hiyo itakuwa ya kwanza kufanywa na Rais wa Singapore nchini tangu Tanzania na Singapore zilipoanzisha rasmi mahusiano ya kidiplomasia tarehe 12 Desemba 1980.
Rais mwenye akili anakuja kukutana na kilaza wa Kizanzibari a.k.a Manyonyo
Anyway, wajadili mambo ya msingi maana Samia hachelewi kuropoka kama Ruto alivyokuja Tanzania kuongelea ile oil refinery kujengwa Tanga