Ama kweli mnapendana,penzi lenu lidumu milele,maana wanaosikiliza fitina za watu ni wengi cku hizi na ni mbaya sana.Ni wachache sana ambao wanaaminiana katika ndoa yao au penzi lao.tunatakiwa kupata uhakika wa jambo kabla ya kuanza kumdhani vibaya mpenzi wako.Acha acheze nao tu mwisho wa siku anarudi kwangu. Mi ilimradi asilale nje
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utasubiri sana
Acha acheze nao tu mwisho wa siku anarudi kwangu. Mi ilimradi asilale nje
haya mama welcme backNipoooo nimerudiii
haahha unafahamiana na bibi harusi unataka kuchangia upande wa kiumeni i wonder?[emoji1] [emoji1] hapana bana...
Mi nachangia kwa upande wa Bwana harusi bana
tehe tehe tehe tehenikupe venue uje uzamie toa kwanza mchango venue utaikuta kwenye kadi ya mwaliko loh
tehe tehe tehe tehe kama umetumwa vileNje analala mchana![emoji1]
uko sahihi mkuu salthanks! Asante kwa wishersAma kweli mnapendana,penzi lenu lidumu milele,maana wanaosikiliza fitina za watu ni wengi cku hizi na ni mbaya sana.Ni wachache sana ambao wanaaminiana katika ndoa yao au penzi lao.tunatakiwa kupata uhakika wa jambo kabla ya kuanza kumdhani vibaya mpenzi wako.
Watakuwa ni wake wenza sasa kuna l na ll[emoji23] [emoji23]Sasa mbona umejiita wa II?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]tehe tehe tehe tehe kama umetumwa vile
UeonaeeHata hatukujua kama tutakuwa member wa Jf kipindi kileee