salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,854
Ama kweli mnapendana,penzi lenu lidumu milele,maana wanaosikiliza fitina za watu ni wengi cku hizi na ni mbaya sana.Ni wachache sana ambao wanaaminiana katika ndoa yao au penzi lao.tunatakiwa kupata uhakika wa jambo kabla ya kuanza kumdhani vibaya mpenzi wako.Acha acheze nao tu mwisho wa siku anarudi kwangu. Mi ilimradi asilale nje