Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Sawa Ticha Konde
 
Hivi binti wa form two si ni katoto sana! Sidhani hatakama kakikaa uchi kunaweza nishtua. Sanasana nitakachapa tuu viboko kakavae nguo. Labda hao wa high school kidogo
 
Kumbe ticha unakuwa unasoma hiyo mitego? anyway, kongole sana kwa kuwa focused na misimamo yako........mwombe sana Mungu akusaidie usiangukie kuoa mcharuko ili hali wewe ni mtu wa principles.
 
Kumbe ticha unakuwa unasoma hiyo mitego? anyway, kongole sana kwa kuwa focused na misimamo yako........mwombe sana Mungu akusaidie usiangukie kuoa mcharuko ili hali wewe ni mtu wa principles.
Kwa nini nisiisome wakati inafanyika mchana?. Na Mungu kanipa macho yote mawili?. Asante sana. Hilo nalo neno.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…