Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli Mimi ni tichamwanafunzi maana siku zote sikomi kujifunzatichamwanafunzi hongera sana......ubarikiwe
Asante kwa kushare nasi experience na maoni yako.Si kwa ubaya ila moja kati ya kozi ambazo niliomba zinipitie pembeni hii ya Ualimu ni moja wapo. Mi hata sikupitia mikasa ki hivyo, nakumbuka baada ya kumaliza kidato cha Sita, baadhi ya wazazi waliwaleta watoto wao niwasaidie kuutoa ujinga kichwani mwao.
Sijui ni bahati au mkosi, mmoja wa walimu wangu wa shule ya Msingi aliniomba nikafumfundishe binti yake kwake, si kwamba ilikuwa mbali sana lakini ilihitaji gharama ya 800/- kwenda na kurudi. Aliniahidi kunilipa hela ya nauli tofauti na hela ya gharama ya Tuition. Sikufikiria mara mbili nilikataa katu.
Basi baada ya muda akaamua kumleta yule mwanae, alikuwa mdogo tu binti ana asili ya Uarabu ukiongeza na Uislamu wake basi nilikuwa naambulia kuona uso wake tu. Being a teenager seeking for a love to cease my lust nilikuwa namlia kichwani tu. Dogo alikuwa mvivu in such a way kwamba kuna siku ananiambi 'broh! kwa leo tusisome nataka kupumzika'. Tulivyoanza kusoma alikuwa anachagua vitu vya kusoma, nika 'calculate' mzee wake ana pesa uwenda labda dogo hana lengo la kuumiza brain yake.
Ilikuwa kama unampa swali afanye (kwa maana nilikuwa nafundishia shule moja ya Msingi) alikuwa anataka achukue chaki niliyoishika mimi mkononi tena analegeza mkono nakuusugua mkono wangu kwa vidole vyake.
Nikaona isiwe shida nikamuunga na mdogo wangi wakike aliyekuwa kidato cha tatu kipindi hicho wakawa wanapiga kitabu kwa pamoja. Nilikujaga tu kusikia stori kwa mama yake akisema 'brother Duarte mgumu mno. Yaani ananuna 24/7'. Nilivyosikia nikasema inawezekana hata mama yake ana "support" tabia za mwanae.
Nilikuwa nina ndoto kubwa nifanye mambo yangu, nilijua kama ningejikwaa pale ningepoteza vitu vyangu vingi tena vya msingi.
Toka hapo nikasema mimi na Ualimu hata sitaki kusikia, kama muda mchache wa Tuition nilipatwa na vioja vya madogo wa umri wa chini ambao kipindi mi naanza kusimama wao wapo ndani ya viuno vya wazazi wao. Inakuwaje huko katik shule ya bweni ya wasichana tupu?, Madogo wanapandishwa genye kiasi cha kujitia uchizi.
It 's not too late
Wengine hata baada ya kuhitimu kidato cha nne huendeleza "vitimbi" vyao mtaani. Utakuta tu simu inaita, kucheck,namba ngeni,kupokea,mtuUmeogopa digit 30
Basi mimi licha ya presha ya familia,marafiki,jamii kunishawishi nije nisome kozi nyingine like Engineering,MD lakini hakuna aliyefanikiwa kunichepusha kwenye 'hii kitu kutoka moyoni' yaani Ualimu. Ualimu wa kusomea kishingo upande unazua majanga mengi sana mbeleni.Si kwa ubaya ila moja kati ya kozi ambazo niliomba zinipitie pembeni hii ya Ualimu ni moja wapo. Mi hata sikupitia mikasa ki hivyo, nakumbuka baada ya kumaliza kidato cha Sita, baadhi ya wazazi waliwaleta watoto wao niwasaidie kuutoa ujinga kichwani mwao.
Sijui ni bahati au mkosi, mmoja wa walimu wangu wa shule ya Msingi aliniomba nikafumfundishe binti yake kwake, si kwamba ilikuwa mbali sana lakini ilihitaji gharama ya 800/- kwenda na kurudi. Aliniahidi kunilipa hela ya nauli tofauti na hela ya gharama ya Tuition. Sikufikiria mara mbili nilikataa katu.
Basi baada ya muda akaamua kumleta yule mwanae, alikuwa mdogo tu binti ana asili ya Uarabu ukiongeza na Uislamu wake basi nilikuwa naambulia kuona uso wake tu. Being a teenager seeking for a love to cease my lust nilikuwa namlia kichwani tu. Dogo alikuwa mvivu in such a way kwamba kuna siku ananiambi 'broh! kwa leo tusisome nataka kupumzika'. Tulivyoanza kusoma alikuwa anachagua vitu vya kusoma, nika 'calculate' mzee wake ana pesa uwenda labda dogo hana lengo la kuumiza brain yake.
Ilikuwa kama unampa swali afanye (kwa maana nilikuwa nafundishia shule moja ya Msingi) alikuwa anataka achukue chaki niliyoishika mimi mkononi tena analegeza mkono nakuusugua mkono wangu kwa vidole vyake.
Nikaona isiwe shida nikamuunga na mdogo wangi wakike aliyekuwa kidato cha tatu kipindi hicho wakawa wanapiga kitabu kwa pamoja. Nilikujaga tu kusikia stori kwa mama yake akisema 'brother Duarte mgumu mno. Yaani ananuna 24/7'. Nilivyosikia nikasema inawezekana hata mama yake ana "support" tabia za mwanae.
Nilikuwa nina ndoto kubwa nifanye mambo yangu, nilijua kama ningejikwaa pale ningepoteza vitu vyangu vingi tena vya msingi.
Toka hapo nikasema mimi na Ualimu hata sitaki kusikia, kama muda mchache wa Tuition nilipatwa na vioja vya madogo wa umri wa chini ambao kipindi mi naanza kusimama wao wapo ndani ya viuno vya wazazi wao. Inakuwaje huko katik shule ya bweni ya wasichana tupu?, Madogo wanapandishwa genye kiasi cha kujitia uchizi.
It 's not too late
Hahahahaaaaa. Wapo walimu waliooa. Wakikerwa au wakinyimwa unyumba na wake zao,basi wanaenda kujifariji kwa wanafunzi wao. Hivyo kuoa hakubadili nia ya mtu mkuu.Uoe Sasa...! Unaoa Lini..? Ukiendelea hivyo hivyo Walahi Utawafyatua.!
Hongera Sana "Teacher "kwa kuruka viunzi.Kazi hii inahitaji Uadilifu Sana ,wewe ni Mlezi wa Kiroho na hata kimwili.Salaam wana JF,
Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na
"Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi.
Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha kusign out.
Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu.
Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa.
La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke.
Baadhi ya manufaa hayo ni;
1. Mungu alizidi kuniamini na
kuwekeza zaidi talanta zake
ndani yangu ambazo si kwa ajili
yangu tu bali kwa ajili ya watu
wengine pia wake kwa waume.
(Hili alikuwa ananiambia na
kunithibitishia kwa kinywa chake
mwenyewe). Alikuwa ananivika
furaha ya ajabu moyoni mwangu
yenye kuashiria kwamba anapendezwa
na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)
2.Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya milioni 9( Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.
3. Wanajamii wanaonizunguka
wananiheshimu kipekee sana
hasa baada ya kujiridhisha
kwamba mwanafunzi mikononi
mwangu anakuwa salama
kiroho,kiakili na kimwili pia. Hata
wahuni hapa mtaani
wananiheshimu sana na huwa
wananitania wakisema "yaani
ningekuwa ndio wewe vitoto
vikijilengelesha ningekuwa
navifyatua sana,unakwama wapi
ticha?". Mi huwa nawajibu " Ni kwa
sababu mmechagua kuishi
maisha ya kujikinai".
4. Imeniongezea kujiamini zaidi.
NB: Namshukuru sana Mungu kwa
kutupa sisi wanadamu uhuru wa
kuchagua either "raha ya
muda mfupi" au "raha ya milele"
ili mwisho wa yote kila mtu
awajibike kwa maamuzi yake.
Mbarikiwe sana!
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Shukrani Mkuu
Asante sana kwa kuniongezea maarifa. Actually,nimefundisha shule tofauti tofauti na zote ni private. Hiyo ilikuwa ni Day&Mchanganyiko. Siku aliyoapishwa Samia ndio nikapata ujasiri zaidi wa kufuta kabisa wazo la kuajiriwa a.k.a kuchoma vyeti(hahahahaaaaa),Hongera Sana "Teacher "kwa kuruka viunzi.Kazi hii inahitaji Uadilifu Sana ,wewe ni Mlezi wa Kiroho na hata kimwili.
Ikumbuke pia wewe Ni Binadamu,Kuna mida unapata Ashiq,kwa hiyo taswira za namna hiyo zikikutokea endelea kuwa busy au kufanya Activities nyingine tofauti tofauti.
Huyo Mwanafunzi Cha kufanya ungembadilisha position akae angle ambayo hataweza ku expose upuuzi wake.
Pia epuka kusema asiyelewa anifate ofisini.(I think waambie "we will revise tomorrow until everyone understands"
Nilitaka nifahamu Kama shule hiyo ni Bweni na mchanganyiko,au waschana tupu.
Hata hivyo Hongera nakutakia mafanikio mema
Na some will conclude by saying this seems to be fictius story ,but carries a great lesson behind it
Aendele kufyatua tu hakuna anayeweza kumzuia lakini awe tayari kuwajibika kwa matendo yake.Asianze kulialia.Hongera ila wangekutana na Rikiboy angekuwa yeye ni kufyatua tu, maana yeye anasemega ameokota embe dodo kwenye mchanga
Atakuwa small house yakoKwani ticha hajaoa? Nataka nitume maombi
Asante,upo sahihi kabisa,yaani wazazi wanavyohangaika mara mikopo,mara kuvumilia mitusi ya mabosi wao huko makazini wakiwapambania watoto wao halafu,kipumbavu tu,mtu anaharibu nafsi za watoto kwa kuendekeza ashki.Sio sawa kutafuna watoto wa wenzio..karma is real broo..hongera sana kwa kulitambua hilo
Hahahahaaaaa. Usmall house Mungu hapendiAtakuwa small house yako
Safi ticha.Salaam wana JF,
Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na
"Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi.
Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha kusign out.
Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu.
Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa.
La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke.
Baadhi ya manufaa hayo ni;
1. Mungu alizidi kuniamini na
kuwekeza zaidi talanta zake
ndani yangu ambazo si kwa ajili
yangu tu bali kwa ajili ya watu
wengine pia wake kwa waume.
(Hili alikuwa ananiambia na
kunithibitishia kwa kinywa chake
mwenyewe). Alikuwa ananivika
furaha ya ajabu moyoni mwangu
yenye kuashiria kwamba anapendezwa
na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)
2.Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya shilingi milioni 9( Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na kwa vyovyote tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.