StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! dunia ina mabalaa hiiIshanitokea sana. Kuna wakati mwanafunzi anakupa wakati mgumu hadi unaogopa kuingia kufundisha darasani coz mkigonganisha tu macho utauyaona maajabu. Mimi kuna mwanafunzi alinitesa sana tena no binti mdogo tu sema ana mwili mkubwa kipindi hicho akiwa 4m one sasa ikawa Mara kwa mara anakuja kuniletea maswali ya form two sasa nikawa namkazia kua haya maswali muda wake bado lakini haelewi kumbe alikua ananiwinda tu... Nashukuru Mungu nilikiepuka hicho kihunzi mbaya zaidi alipofika kidato cha 3 alijazwa mimba... Sitasahau huo msala maana ungeniangukia mimi maana yule dogo aliwahi kunipa barua kua anataka tuwe wapenzi!!!. Mikasa ningi sana
Pole jaribu kurudia tena nimeeditedit kidogo. Halafu utoe maoni tenaIla mwalimu uandishi wako nimechoka sana.
Kwahiyo hujawahi kula tunda kimasihara?Salaam wana JF,
Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na
"Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi.
Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha kusign out.
Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu.
Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa.
La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke.
Baadhi ya manufaa hayo ni;
1. Mungu alizidi kuniamini na
kuwekeza zaidi talanta zake
ndani yangu ambazo si kwa ajili
yangu tu bali kwa ajili ya watu
wengine pia wake kwa waume.
(Hili alikuwa ananiambia na
kunithibitishia kwa kinywa chake
mwenyewe). Alikuwa ananivika
furaha ya ajabu moyoni mwangu
yenye kuashiria kwamba anapendezwa
na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)
2.Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya milioni 9( Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.
3. Wanajamii wanaonizunguka
wananiheshimu kipekee sana
hasa baada ya kujiridhisha
kwamba mwanafunzi mikononi
mwangu anakuwa salama
kiroho,kiakili na kimwili pia. Hata
wahuni hapa mtaani
wananiheshimu sana na huwa
wananitania wakisema "yaani
ningekuwa ndio wewe vitoto
vikijilengelesha ningekuwa
navifyatua sana,unakwama wapi
ticha?". Mi huwa nawajibu " Ni kwa
sababu mmechagua kuishi
maisha ya kujikinai".
4. Imeniongezea kujiamini zaidi.
NB: Namshukuru sana Mungu kwa
kutupa sisi wanadamu uhuru wa
kuchagua either "raha ya
muda mfupi" au "raha ya milele"
ili mwisho wa yote kila mtu
awajibike kwa maamuzi yake.
Mbarikiwe sana!
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Nikila 'tunda' iwe kimasihara au isiwe kimasihara nje ya tunda halali nakuhakikishia nitakachopoteza ni kikubwa kuliko nitakachokipata. Ni upumbavu kudeal na 'cha muda mfupi' kisha unapoteza 'cha milele'.Kwahiyo hujawahi kula tunda kimasihara?
Swali zuri. Wapo waliokuwa wanatumwa na utawala wa shule kama sehemu yao ya kunidodosa. Wapo waliokuwa wanatumwa na watesi wangu. Source ni watumwaji wenyewe walikuwa wananifungukia baadae agenda hizo za siri.Umesrma wametumwa una uhakika? Nan kawatuma
Polesan Mungu mwm umeshindSwali zuri. Wapo waliokuwa wanatumwa na utawala wa shule kama sehemu yao ya kunidodosa. Wapo waliokuwa wanatumwa na watesi wangu. Source ni watumwaji wenyewe walikuwa wananifungukia baadae agenda hizo za siri.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Asante. Hivyo ni vitu vidogo sana mkuu. Huwa nawachora tu.Polesan Mungu mwm umeshind
Uongo huoooSalaam wana JF,
Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na
"Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi.
Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha kusign out.
Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu.
Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa.
La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke.
Baadhi ya manufaa hayo ni;
1. Mungu alizidi kuniamini na
kuwekeza zaidi talanta zake
ndani yangu ambazo si kwa ajili
yangu tu bali kwa ajili ya watu
wengine pia wake kwa waume.
(Hili alikuwa ananiambia na
kunithibitishia kwa kinywa chake
mwenyewe). Alikuwa ananivika
furaha ya ajabu moyoni mwangu
yenye kuashiria kwamba anapendezwa
na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)
2.Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya milioni 9( Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.
3. Wanajamii wanaonizunguka
wananiheshimu kipekee sana
hasa baada ya kujiridhisha
kwamba mwanafunzi mikononi
mwangu anakuwa salama
kiroho,kiakili na kimwili pia. Hata
wahuni hapa mtaani
wananiheshimu sana na huwa
wananitania wakisema "yaani
ningekuwa ndio wewe vitoto
vikijilengelesha ningekuwa
navifyatua sana,unakwama wapi
ticha?". Mi huwa nawajibu " Ni kwa
sababu mmechagua kuishi
maisha ya kujikinai".
4. Imeniongezea kujiamini zaidi.
NB: Namshukuru sana Mungu kwa
kutupa sisi wanadamu uhuru wa
kuchagua either "raha ya
muda mfupi" au "raha ya milele"
ili mwisho wa yote kila mtu
awajibike kwa maamuzi yake.
Mbarikiwe sana!
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Mungu kanielewa zaidi. Sasa jiulize kati ya Mungu na ninyi 'wakubwa' nani mkubwa zaidi?Zinaa haitangazwi teacher.. sisi wakubwa tumekuelewa sana hapo
Hahahahaaaaa. Kwa kizazi hiki kinachosema "tutoto twa shule ni tutamu" ni ngumu kueleweka. Hata hivyo akinielewa Mungu yanitosha. Hata dunia nzima isiponielewa ni sawa tu.Uongo huooo
Soma tena hapo kwenye maelezo ya kisa cha huyo binti wa kidato cha pili.Kumbe mateacher wengine ni maboya kabisa. Mtoto wa kidato cha pili amekaa vibaya unasema unakutega?
Kumbe ukikuta kitoto kinakojoa njiani unahisi mitego, acha kujidanganya, watoto wadogo hawaijui aibu, anakaa anavyotaka
Sina namba yake mkuuTeacher Naomba namba ya kale kalikopandisha sketi.