Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Hivi binti wa form two si ni katoto sana! Sidhani hatakama kakikaa uchi kunaweza nishtua. Sanasana nitakachapa tuu viboko kakavae nguo. Labda hao wa high school kidogo
Hahahahaaaaa. Umenikumbusha kituko kimoja hivi. "Mwalimu usimuone mwanangu huu mwili lakini ni mdogo tu,huyu wa juzi tu mwalimu". Kusema kweli kuna hofu kuu imetanda. Yanayotendeka yanawafanya wazazi wasituamini hasa sisi walimu vijana. Kazi ipo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ule wanafunzi usile hiyo skendo ya kutafuna wanafunzi itakuandama tu.

Sikia bro kama unajielewa enough fanya mishe za uwekezaji na ukasome uondokane na huko.
 
Hakuna wakat ambao mwanamke huvutia zaid kama kipind cha miaka 15-20,kwa kwel walimu wa kiume mnamtihani
 
Ule wanafunzi usile hiyo skendo ya kutafuna wanafunzi itakuandama tu.

Sikia bro kama unajielewa enough fanya mishe za uwekezaji na ukasome uondokane na huko.
Skendo za kusingiziwa hazijawahi kunitetemesha. Mungu halali wala hasinzii.Mtu akiamua jambo lake huna namna ya kumzuia.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Salaam wana JF,

Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na
"Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi.

Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa.

Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha kusign out.

Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu.

Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa. La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke.

Baadhi ya manufaa hayo ni;

1. Mungu alizidi kuniamini na kuwekeza zaidi talanta zake ndani yangu ambazo si kwa ajili yangu tu bali kwa ajili ya watu wengine pia wake kwa waume.

(Hili alikuwa ananiambia na kunithibitishia kwa kinywa chake mwenyewe). Alikuwa ananivika furaha ya ajabu moyoni mwangu yenye kuashiria kwamba anapendezwa na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)

2. Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya shilingi milioni 9 (Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na kwa vyovyote tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.

3. Wanajamii wanaonizunguka wananiheshimu kipekee sana hasa baada ya kujiridhisha kwamba mwanafunzi mikononi mwangu anakuwa salama kiroho, kiakili na kimwili pia. Hata wahuni hapa mtaani wananiheshimu sana na huwa wananitania wakisema "yaani ningekuwa ndio wewe vitoto vikijilengelesha ningekuwa navifyatua sana, unakwama wapi
ticha?". Mimi huwa nawajibu " Ni kwa sababu mmechagua kuishi maisha ya kujikinai".

4. Imeniongezea kujiamini zaidi.

NB: Namshukuru sana Mungu kwa kutupa sisi wanadamu uhuru wa kuchagua either "raha ya muda mfupi" au "raha ya milele" ili mwisho wa yote kila mtu awajibike kwa maamuzi yake.

Mbarikiwe sana!
Hongera Mwalimu!!
Hofu ya Mungu iendelee kuambatana nawewe siku zote!!
Neema aliyokukirimia Mungu usiipoteze,endelea kumnyenyekea zaidi🙌🙌
 
Hongera Mwalimu!!
Hofu ya Mungu iendelee kuambatana nawewe siku zote!!
Neema aliyokukirimia Mungu usiipoteze,endelea kumnyenyekea zaidi[emoji119][emoji119]
Asante sana,nafurahi ninapokutana na maoni chanya kutoka kwa watu chanya kama wewe. Nitazingatia sana ushauri wako kwa sababu unyenyekevu ndio 'placenta' yangu. Ndio organ muhimu ya kupokea virutubisho muhimu kutoka kwa Mungu ili nizidi kukua zaidi kiroho.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Salaam wana JF,

Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na
"Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi.

Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa.

Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha kusign out.

Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu.

Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa. La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke.

Baadhi ya manufaa hayo ni;

1. Mungu alizidi kuniamini na kuwekeza zaidi talanta zake ndani yangu ambazo si kwa ajili yangu tu bali kwa ajili ya watu wengine pia wake kwa waume.

(Hili alikuwa ananiambia na kunithibitishia kwa kinywa chake mwenyewe). Alikuwa ananivika furaha ya ajabu moyoni mwangu yenye kuashiria kwamba anapendezwa na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)

2. Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya shilingi milioni 9 (Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na kwa vyovyote tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.

3. Wanajamii wanaonizunguka wananiheshimu kipekee sana hasa baada ya kujiridhisha kwamba mwanafunzi mikononi mwangu anakuwa salama kiroho, kiakili na kimwili pia. Hata wahuni hapa mtaani wananiheshimu sana na huwa wananitania wakisema "yaani ningekuwa ndio wewe vitoto vikijilengelesha ningekuwa navifyatua sana, unakwama wapi
ticha?". Mimi huwa nawajibu " Ni kwa sababu mmechagua kuishi maisha ya kujikinai".

4. Imeniongezea kujiamini zaidi.

NB: Namshukuru sana Mungu kwa kutupa sisi wanadamu uhuru wa kuchagua either "raha ya muda mfupi" au "raha ya milele" ili mwisho wa yote kila mtu awajibike kwa maamuzi yake.

Mbarikiwe sana!
Hongera sana Mkuu, na hiyo sasa ndio maana kamili ya Mwanaume Rijali.
 
Hahahahaaaaa. Wapo waliokuwa wananisema eti mi 'mgonjwa' wakiwemo walimu wenzangu wa kiume. Tena wapo waliokuwa wanaonesha chuki yao dhidi yangu hadharani. Ndio kwanza nikawa nakanyaga 'accelerator'. Kazi kazi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaaaaa. Wapo waliokuwa wananisema eti mi 'mgonjwa' wakiwemo walimu wenzangu wa kiume. Tena wapo waliokuwa wanaonesha chuki yao dhidi yangu hadharani. Ndio kwanza nikawa nakanyaga 'accelerator'. Kazi kazi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Achana nao na waepuke sana watu wa aina hiyo. Endelea na msimamo wako.
 
Salaam wana JF,

Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na
"Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi.

Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa.

Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha nika-sign out.

Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu.

Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa. La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke.

Baadhi ya manufaa hayo ni;

1. Mungu alizidi kuniamini na kuwekeza zaidi talanta zake ndani yangu ambazo si kwa ajili yangu tu bali kwa ajili ya watu wengine pia wake kwa waume.

(Hili alikuwa ananiambia na kunithibitishia kwa kinywa chake mwenyewe). Alikuwa ananivika furaha ya ajabu moyoni mwangu yenye kuashiria kwamba anapendezwa na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)

2. Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya shilingi milioni 9 (Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na kwa vyovyote tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.

3. Wanajamii wanaonizunguka wananiheshimu kipekee sana hasa baada ya kujiridhisha kwamba mwanafunzi mikononi mwangu anakuwa salama kiroho, kiakili na kimwili pia. Hata wahuni hapa mtaani wananiheshimu sana na huwa wananitania wakisema "yaani ningekuwa ndio wewe vitoto vikijilengelesha ningekuwa navifyatua sana, unakwama wapi
ticha?". Mimi huwa nawajibu " Ni kwa sababu mmechagua kuishi maisha ya kujikinai".

4. Imeniongezea kujiamini zaidi.

NB: Namshukuru sana Mungu kwa kutupa sisi wanadamu uhuru wa kuchagua either "raha ya muda mfupi" au "raha ya milele" ili mwisho wa yote kila mtu awajibike kwa maamuzi yake.

Mbarikiwe sana!
Kuna jamaa yangu flani alikuwa kamaliza six akaamua piga temple shule flani ya mabinti mkoani kagera inaitwa rugabwa, yani aliacha baada ya wiki kwa mitego aliyokumbana nayo.
Wanafunzi mara wafungue vishikizo vya mashati mpaka maziwa yabaki nje eti wanadai joto.
Mara wakae mikao ya vyupi kuonekana. Akaona heri aache
 
Safi sana ticha, kama walimu wote wangekua kama wewe hakika elimu ingesonga mbele zaidi.

Japo kwangu mimi kiukweli ingekua ni ngumu kukwepa mbususu iliyojileta. Hongera ticha.
 
Back
Top Bottom