Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Kuna jamaa yangu flani alikuwa kamaliza six akaamua piga temple shule flani ya mabinti mkoani kagera inaitwa rugabwa, yani aliacha baada ya wiki kwa mitego aliyokumbana nayo.
Wanagunzi mara wafungue vishikizo vya mashati mpaka maziwa yabaki nje eti wanadai joto.
Mara wakae mikao ya vyupi kuonekana. Akanona heri aache
Hahahahaaaaa. Angewaambia "hivi ninyi mnawezaje kunikalia uchi mimi baba yenu mzazi?".

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana ticha, kama walimu wote wangekua kama wewe hakika elimu ingesonga mbele zaidi.

Japo kwangu mimi kiukweli ingekua ni ngumu kukwepa mbususu iliyojileta. Hongera ticha.
Hata mimi nina mwili wenye asili kama yako. Lakini huwa napiga hesabu moja tu. Nitakachokipoteza ni kikubwa kuliko hiyo inayoonekana 'raha'.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Walikuwa wanaona kama vile wanalingana
Haijalishi yeye angekomaa kuwafuta hiyo notion kwa kuwafanyia 'high level psychological intimidation". Wakati wao wanamuona ni 'mpenzi wao' yeye angekomaa kuwaona, kuwaita plus kuwatreat kama watoto wake wa kuwazaa. Consistency katika hili ingemponya. Uzuri huwa wanasimuliana kwamba yule Mwalimu hata ujishongondoe vipi utajichoresha tu au yule 'maharage ya mbeya,maji mara moja tu'. Tabia tunazowaonesha ni mwandiko tosha kwao hivyo wanafunzi wanatusoma ile ki TISS-TISS. Unakuta wanafunzi wana mafaili ya tabia za walimu kama wanashinda nao vile.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Haijalishi yeye angekomaa kuwafuta hiyo notion kwa kuwafanyia 'high level psychological intimidation". Wakati wao wanamuona ni 'mpenzi wao' yeye angekomaa kuwaona, kuwaita plus kuwatreat kama watoto wake wa kuwazaa. Consistency katika hili ingemponya. Uzuri huwa wanasimuliana kwamba yule Mwalimu hata ujishongondoe vipi utajichoresha tu au yule 'maharage ya mbeya,maji mara moja tu'. Tabia tunazowaonesha ni mwandiko tosha kwao hivyo wanafunzi wanatusoma ile ki TISS-TISS. Unakuta wanafunzi wana mafaili ya tabia za walimu kama wanashinda nao vile.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hakuwa mwalimu hivyo hayo mambo hakuwa anayajua pale alienda tu piga tempo akisikilizia kwenda chuo
 
Tatizo ya hiv vitoto ukila kamoja tu umeisha haribu kila kitu, kataenda kusimlia wenzake na wenzake nao watataka tu uwale.
Yan sijui huwa vinaoneana wivu
 
Tatizo ya hiv vitoto ukila kamoja tu umeisha haribu kila kitu, kataenda kusimlia wenzake na wenzake nao watataka tu uwale.
Yan sijui huwa vinaoneana wivu
Hahahahaaaaa. Hao ni wa kuwasaidia tu. Wanakutana na mengi kwenye dunia hii ya utandawazi ukijumlisha na balehe ndio kabisaa. Kuna mabinti waliwahi kuzozana darasani "huyu wangu,huyu wangu" huyo wanaemgombea mwenyewe muda huo ndio anawafundisha ubaoni. Back benchers wengi wana ajenda nyeusi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Salaam wana JF,

Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na
"Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi.

Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa.

Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha nika-sign out.

Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu.

Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa. La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke.

Baadhi ya manufaa hayo ni;

1. Mungu alizidi kuniamini na kuwekeza zaidi talanta zake ndani yangu ambazo si kwa ajili yangu tu bali kwa ajili ya watu wengine pia wake kwa waume.

(Hili alikuwa ananiambia na kunithibitishia kwa kinywa chake mwenyewe). Alikuwa ananivika furaha ya ajabu moyoni mwangu yenye kuashiria kwamba anapendezwa na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)

2. Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya shilingi milioni 9 (Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na kwa vyovyote tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.

3. Wanajamii wanaonizunguka wananiheshimu kipekee sana hasa baada ya kujiridhisha kwamba mwanafunzi mikononi mwangu anakuwa salama kiroho, kiakili na kimwili pia. Hata wahuni hapa mtaani wananiheshimu sana na huwa wananitania wakisema "yaani ningekuwa ndio wewe vitoto vikijilengelesha ningekuwa navifyatua sana, unakwama wapi
ticha?". Mimi huwa nawajibu " Ni kwa sababu mmechagua kuishi maisha ya kujikinai".

4. Imeniongezea kujiamini zaidi.

NB: Namshukuru sana Mungu kwa kutupa sisi wanadamu uhuru wa kuchagua either "raha ya muda mfupi" au "raha ya milele" ili mwisho wa yote kila mtu awajibike kwa maamuzi yake.

Mbarikiwe sana!
Hongera mwalimu.
 
Hapana sikuwa nacho,licha ya ukweli kwamba mtaani nako nilikuwa nakutana na vishawishi vya kimkakati kutoka kwa wadada na wamama. Siri kuu ni kuwa na uwezo wa kuudhibiti mwili na tamaa zake kwa kuenenda kiroho. Spiritual world is so powerful enough to master the physical world.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wewe unauwezo wa kufanya sex kwa interval ipi!?
 
Kwa hiyo wewe unauwezo wa kufanya sex kwa interval ipi!?
Since I separated with my former partner by distance(her working place being distant from mine and she started misbehaving) Its been two years now I never touched any woman just waiting for somebody to cover her place soon. So it depends on the circumstances I face,though, I don't sleep with whoever woman that I don't have life engagement and commitment with. No womanizing!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Umeonesha udhaifu mkubwa mno......huwa tunawastua kijoti,kisha unasepa usiweke turubai.....wakimaliza shule huwa hawatakupa salammu......mtoto WA mwenzio mkubwa mwenzio......usipopiga utapigiwa Tu,hakuna namna
 
Mtoto wa kike mwanafunzi anapata wapi ujasiri wa kujirahisisha kwa mwalimu wake?!?..
Sitaki kuhukumu ila nina mashaka na unajipresent kwao..


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kuwa mwalimu ndo utajua. Kuna mwalimu alitaka kubakwa na wanafunzi wa kike, yasikie tu! Tena hiyo ya wanafunzi wa kike kujiachia wanayo sana. Wengine anategesha mwalimu yuko peke yake ofisini ndo anakuja kujifanya hajaelewa au kujiulizisha jambo!

Wanafunzi wengine wa kike wanakufuata hadi nyumbani kwako! Tena wakati mwingine binti mmoja anakuja kwako. Ni mzuri haswa mtoto kaumbika! Nasema hivi niliwahi kufundisha shule na vyuo. Acha tu unahitaji Neema ya Mungu.
Hongera mwalimu kwa kukwepa hayo yote!
 
Back
Top Bottom