The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

you are missing the big point mleu. Hata huo wa south africa wakijidai kuimba kwa kuslang utaboa pia. Oroginality includes accent.

Kihusu kenneth, hata hatujaanza kudate. Nangojea Nyani Ngabu aniintrodyuzi.
Kenneth kaoa na hataki mpango wa kando na kwa taarifa Yako mke wake ni aina ya Lucy Kibaki...heheeee!
 
Last edited by a moderator:
Waleteni Arusha kama the Hangue ni mbali sana...:A S 100:
 
Dah! Huyo Uamsho look-alike naona alisahauliwa hadi na mimi nikasahau kama yupo stejini:becky:
 
Una uhakika melody imecopiwa south Africa na sio South Africa wametucopy sisi??kwani South Africa wamepata uhuru lini??just think

It is not the matter of "just thinking", rather a historical fact!
 
Mkuu lete dose kamili wengine hapa tunafanya kazi ya kumlaani Muhongo.

Mkuu pole. Subiri gesi ya Mtwara ikifika miaka mitano ijayo mambo yatakuwa sawa.

Martha amempiga msumari Kenyatta kuhusu kesi yake ya Hague na pia amemsahihisha Odinga ambaye ameongopa kwamba kura ilipigwa bungeni kuamua kama mahakama ya kuwashitaki watuhumiwe iwe Kenya ama ICC. Martha amesema kura haikupigwa. Raila kanywea.

Kenyatta linajibu maswali kwa ufasaha na kujiamini. Nadhani amepata ile kitu ya Tarime.
 
Ati kwa nini siwezi kuchagua Karua kama rais? Hata gari bila reverse gear siwezi endesha, sitaki kusikia kesho kenya inajihami kivita kupigana na Russia.
 
Naona Prof James ole Kiyiapi anakubali kuwa suala la mgombea Urais mwenzie Uhuru Kenyatta liachiwe 'mahakama ya wananchi' iamue kwa kuwa kwa sasa tuhuma za ICC haziwezi kuzuia zoezi la uchaguzi hivyo sanduku la kura kupitia 'nguvu ya umma' itakayopiga kura itaamua mustakhabali ya mgombe yupi awe rais wa Jamhuri ya Kenya..
 
Kuna Msomali hapo nae ni Candidate! kwanini wanaruhusu Msomali kugombea? huyo si ni mkimbizi toka Somalia? uraia wa kununua utaleta balaa! kesho utasikia Rage nae anataka Urais!
 
Wa kenya wamewachoka kweli wasomali yani hapo juu kwenye picha hamna picha ya mgombea Mwenye asili ya SOMALIA mohamed dida!! Huyo profesor anafanana na Mpoki knoma!
 
Mohammed Duba Duba Diba is a funny one. But the point remains, Kenya is a sovereign state but the wheels of Justice are running and Uhuru should put the country first!
 
Watching the debate online. It's very interesting. Wenzetu wana kata ishu kweli na nothing is off the table. I was happy that Uhuru Kenyatta was asked about the ICC issue and he was willing to reply.
 
Swali zuri kwa wagombea juu ya uanzishwaji wa vyama vya 'msimu' wakati wa uchaguzi kuwabeba wagombea kwa maana nyingine Kenya hakuna vyama madhubuti kama vyama vya siasa Tanzania CHADEMA, CCM, NCCR-MAGEUZI , CUF n.k ambavyo siyo vya msimu.
 
Back
Top Bottom