Kenneth kaoa na hataki mpango wa kando na kwa taarifa Yako mke wake ni aina ya Lucy Kibaki...heheeee!you are missing the big point mleu. Hata huo wa south africa wakijidai kuimba kwa kuslang utaboa pia. Oroginality includes accent.
Kihusu kenneth, hata hatujaanza kudate. Nangojea Nyani Ngabu aniintrodyuzi.
Una uhakika melody imecopiwa south Africa na sio South Africa wametucopy sisi??kwani South Africa wamepata uhuru lini??just think
Msijali tutaweka video yote baadaye...:A S 100:
Mkuu lete dose kamili wengine hapa tunafanya kazi ya kumlaani Muhongo.
Kenyatta linajibu maswali kwa ufasaha na kujiamini. Nadhani amepata ile kitu ya Tarime.
But this kenneth is really smart, im lurred!
I like the interviewer..
I like the interviewer..