Dah! Huyo Uamsho look-alike naona alisahauliwa hadi na mimi nikasahau kama yupo stejini:becky:
Tuna mtangazaji gani TZ ambaye ataweza kuendesha debate kitaalamu kama huyu mdadaa bila kuegemea upande wowote?
Kila mgombea anajaribu kumnukuu Obama, interesting.
Naona unamfatilia sana huyo Uamsho, i hope you dont intend to link him with hawa jamaa zetu ...
Kwa huo wekundu wa macho!? Ndio maana vikongwe wanauawa aisee (kimbuka usilete 'hearsay')
Mkuu hao mimi nawamudu vizuri sana. Naujua udhaifu wao. Hata kuimbisha kwao ni issue wao hutumia mibahasha ili iimbe kwa niaba yao (nadhani umenipata hapo).
If i was to cast my vote, before the debate was Raila, but now Keneth is my favorite!!
welcome to our world. Umeanza kunikubalia kenneth wangu eeh? Brainy is sexy, lol
Kongosho, unapika wanzuki wapi na wewe?
Mkuu nikiwawakilisha wahandisi nitakukatalia katakata. Hao jamaa hawatumii bahasha na hawana maneno mingiii kama wanasiasa. Ni watu wako straight to the point, akipigwa chini anainuka anafuta vumbi anasonga mbele!