The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

My verdict:

No clear winner(s) or loser(s).

There were no memorable zingers.

Uhuru got through unscathed.

Raila was okay.

Martha was strong.

Looking forward to the next debate.
 
Mwita Maranya, mie Fundi Mchundo bado hahahaa, kwa hiyo hilo mie halinihusu.

Ila kweli watu wa Ufundi huwa tunachemsha sana mara nyingi maana nasikia kuna jamaa alienda Ukraine kusoma na wakati akiingia jikoni, dada wa Kinigeria akawa kamaliza kupika na akataka kuzima jiko basi kaka wa Kizaramo akaona awahi kabla jiko halijazimwa "........... no no no, Don't put off, I'm Cooking on him......" hihihiiiiiii.
Kimbunga, tukiacha utani, sijui field nyingine ila kwenye Ujenzi, inabidi sana kufahamu Managements, Uchumi, fine Art nk maana kila Structure ya Wajenzi wanasema ni lazima iwe: Bei nafuu, Ipendeze kwa Sura, Itimize kazi inayotakiwa kufanya na Idumu.
Sasa basi hapo una mambo ya Uchumi na Sanaa. Ukiongeza kuwa jengo kabla halijajengwa, inabidi utengeneze Organisation ya Nguvu kazi (watu), Vifaa vya kutumia na Materials yake. Hapo kama wewe hujui uongozi, kazi itakushida. Ndiyo maana utaona leo Crane fulani inaletwa sehemu ya jenzi, kesho haipo au kifaa fulani kinakuja kwa muda fulani tu. Inabidi uchunge MUDA maara ukichelewa kukabidhi jengo, faini yake kwa siku si njema sana kwa faida yako.

Kuna sehemu USA walikuwa wamwage Zege na ghafla kukawa na maandamano. Ilibidi wafanye Booking haraka sana ya zile helcopiters za Zima moto na zikatumika kubeba Mitungi ya Zege ili waweze tu ku-keep Timetatble.

OGOPA MHANDISI WA UJENZI, NI KIONGOZI MZURI SANA.
Hahaha naona wewe unatafuta ugomvi na wahandisi. Sikonge akikusikia tusilaumiane!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu mmoja tu niliyemsikia akitamka waziwazi kuwa yuko tayari kuongoza nchi...
 
I like Keneth confidence ila sidhani kama ana jipya, akiwa KFF alivurunda je kwenye nchi ataweza??

Okay...mie ninatoa tu judgement kulingana na nilivyouona mdahalo...Is KFF = Kenya Footbal Federation??
 
Keneth was more strong

Muite was undetermined

Uhuru was under pressure

Odinga was more confident [

Dida was there for entertainment

Mudavadi was more silent

My verdict:

No clear winner(s) or loser(s).

There were no memorable zingers.

Uhuru got through unscathed.

Raila was okay.

Martha was strong.

Looking forward to the next debate.
 
Mkuu hiyo siyo hearsay. Niliambiwa na ndugu yake na hata sasa nimeongea naye kwa simu tukifuatilia mdahalo huu. Huyo jamaa anaitwa Maina na yupo Wizara ya Fedha ya Kenya
Haya mkubwa yote heri tu ukizingatia he did me proud usiku wa leo sijali sana haya ya majani natumai anajulia tu dozi
 
Paulo Muite ana misimamo migumu kiasi fulani kiasi kwamba anaweza itia nchi kwenye majanga mengi zaidi
 

Lol dude get a life, when your candidate goes to sleep in debate you invoke my being a tna apologist as your best defence bet? When did being a cord supporter become a status symbol?
 
Imeisha tusubiri round ya pili. Sasa turudi kwenye siasa zetu

Tukirudi kwenye siasa zetu huku ni kizungumkuti tunachochea uhasama wa kidini na leo tumeshuhudia leo damu ikimwagika buseresere.
Mambo hayo yanayokea na hutamsikia kiongozi mkuu wa nchi akifanya jambo la makusudi kulikabili tatizo lililopo.
 
The organisers of the event have spent Sh100 million to run the presidential debate.

Natamani kufahamu matumizi ya hizi pesa zote au hawa candidates wamelipwa perdiems, sielewi, nielimishwe
 

Hahaaa..wewe si ulijudge kabla ya debate bhana? i thought uliangalia uhandsome....LOL...
ndio kinachowa-cost wabongo takribani miaka kumi sasa, na bado 2015 endeleeni kuuangalia uhandsome
 
My verdict:

No clear winner(s) or loser(s).

There were no memorable zingers.

Uhuru got through unscathed.

Raila was okay.

Martha was strong.

Looking forward to the next debate.

Hahaha Nyani hujamuona Paul Muite alivyokuwa ngangari?
 
Tukirudi kwenye siasa zetu huku ni kizungumkuti tunachochea uhasama wa kidini na leo tumeshuhudia leo damu ikimwagika buseresere.
Mambo hayo yanayokea na hutamsikia kiongozi mkuu wa nchi akifanya jambo la makusudi kulikabili tatizo lililopo.

Mkuu Mwita Maranya tumefika pabaya. Hivi kama pale buseresere wanapigana wakati ni kakitongoji tu vipi hili tifu likifika Dar? Mungu atuepushe na huu ugomvi wa kugombea kuchinja.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…