Ya. Na wanaoteseka na kufa kwa sababu ya uongozi mbovu kwenye siasa ni masikini pia. So, bora mtu ufe ukipambana kuliko kufa kifala...Nilipata muda mchache jana wa kuangalia mdahalo wa wagombea uraisi Kenya, statement moja iliyonivutia ni kutoka kwa Martha Karua:
- Penye mapigano ya kikabila, wanaokufa ni masikini; sio wanasiasa au watu matajiri au viongozi wa dini etc.
Tafakari.
Ha ha ha.. Mwenzangu nilienda kwenye pub ya jirani kulikuwa na jenereta.. Yaani debate ilikuwa between walevi niliowakuta hapo.. Mwisho wa ciku ikabidi nijirudie hom mie.. Saa hizi ndo nasoma comments zenu hapa ili at least nielewe who outdid who..
Swali kwenu; ni nani aliefanya vizuri kwenye mdahalo ule.. na ni nani ambae alitepeta..?
Kimbunga.. King'asti.. Nyani Gabu nisaidieni opinion zenu tafadhali..
| Class |
Probably you are right. But, unapambana na nani, masikini mwezio, ili upate nini?Ya. Na wanaoteseka na kufa kwa sababu ya uongozi mbovu kwenye siasa ni masikini pia. So, bora mtu ufe ukipambana kuliko kufa kifala...
Tafadhali shika adabu yako.
Tanzania ndio waanzilishi wa midahalo ya wagombea uraisi,kama sikosei ilikuwa kati ya Mkapa na Mrema miaka kama 18 iliyopita mara tu baada ya kuruhusiwa vyama vingi kwa hiyo sio eti tuanze kufanya kama walivyofanya Kenya.Outstanding!!
I'm eagerly looking forward to watching the debate!
These are some of the things that need to be embraced,Presidential Aspirants must be put to some form of test before being even allowed to start Campaining,that way we know clearly where everyone stands on key issues and their deliberation strategies!!
I hope we too in Tanzania shall copy this and do the needful come 2015
Hakuna aliyepeta saaana kushinda wengine, ila kuna waliodorora saana kuliko wengine
Ila Uhuru kajibu vizuri but mi naona they way Uhuru na Odinga wanavyojibu maswali wapo kijanja zaidi.Hili swali lilipoanza tu, umeme ulikatika Eldoret. (Ruto's constituency)
Mi naona Odinga ni Presidential material ila ye na uhuru wanajibu maswali kijanja....kwenye debate mtu ambaye anajiamini na yupo clear ni Mudavidawote wamejitahidi lakini Odinga na Kenyatta ni presidential materials
Let Kenyans read between the lines the spoken statements of CORD COALITION PRINCIPLES OF RAILA & KALONZO. To me personally this statement are for people who have realize they have already lost the election and are desperate to look for sympathy. The Coalition for Reforms and Democracy (Cord) has warned Kenya's economy could collapse if leaders facing international isolation are elected to office in next months elections. Cord leaders Raila Odinga and Kalonzo Musyoka said a battered economy could force Kenyans into serious economic hardships that could undermine internal investments and force massive job cuts. On the same subject, Mr Odinga warned: How can you trust someone who is telling you he is going to run your government through Skype from the Kenyan embassy in The Hague?" "Remove any doubt in your minds, be corded with others across the country and together we will make this nation great in the African continent, he said.