The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

Nilipata muda mchache jana wa kuangalia mdahalo wa wagombea uraisi Kenya, statement moja iliyonivutia ni kutoka kwa Martha Karua:

- Penye mapigano ya kikabila, wanaokufa ni masikini; sio wanasiasa au watu matajiri au viongozi wa dini etc.

Tafakari.
Ya. Na wanaoteseka na kufa kwa sababu ya uongozi mbovu kwenye siasa ni masikini pia. So, bora mtu ufe ukipambana kuliko kufa kifala...
 
Hakuna aliyepeta saaana kushinda wengine, ila kuna waliodorora saana kuliko wengine
Ha ha ha.. Mwenzangu nilienda kwenye pub ya jirani kulikuwa na jenereta.. Yaani debate ilikuwa between walevi niliowakuta hapo.. Mwisho wa ciku ikabidi nijirudie hom mie.. Saa hizi ndo nasoma comments zenu hapa ili at least nielewe who outdid who..

Swali kwenu; ni nani aliefanya vizuri kwenye mdahalo ule.. na ni nani ambae alitepeta..?

Kimbunga.. King'asti.. Nyani Gabu nisaidieni opinion zenu tafadhali..
 
Kilichokosekana jana na ambacho kingewapa wakati mgumu baadhi ya wagombea ni suala la ARDHI, wamejilimbikizia sana ARDHI hawa jamaa
 
Samahani kwa kuchakachua thread hii but this school iko powa sana, tatizo UWEZO tu

The following outlines the fees charged for the academic year, 2012 -2013:
Class

[TD="colspan: 3"]
FEES PER TERM IN KENYAN SHILLINGS
[/TD]

[TD="width: 236"]
Tuition Only
[/TD]
[TD="width: 316"]
Boarding & Tuition
[/TD]

[TD="width: 208"]Early Years
[/TD]
[TD="width: 236"]
150,000​
[/TD]
[TD="width: 316"]
n/a​
[/TD]

[TD="width: 208"]Year 1
[/TD]
[TD="width: 236"]
190,000​
[/TD]
[TD="width: 316"]
n/a​
[/TD]

[TD="width: 208"]Year’s 2 - 5
[/TD]
[TD="width: 236"]
340,000​
[/TD]
[TD="width: 316"]
615,000​
[/TD]

[TD="width: 208"]Year’s 6 - 8
[/TD]
[TD="width: 236"]
375,000​
[/TD]
[TD="width: 316"]
650,000​
[/TD]

[TD="width: 208"]Year’s 9 – 11
[/TD]
[TD="width: 236"]
410,000​
[/TD]
[TD="width: 316"]
685,000​
[/TD]

[TD="width: 208"]Year’s 12 – 13
[/TD]
[TD="width: 236"]
425,000​
[/TD]
[TD="width: 316"]
700,000​
[/TD]

[TD="width: 208"]BTEC courses
[/TD]
[TD="width: 236"]
175,000​
[/TD]
[TD="width: 316"]
450,000​
[/TD]
 
Hakuna aliyepeta saaana kushinda wengine, ila kuna waliodorora saana kuliko wengine

Mkuu Mokoyo nilikuwa ninaamaanisha alietepeta.. Yaani aliechemsha sana.. So umaanisha wote walitepeta japo wengine walitepeta zaidi..?
 
Ya. Na wanaoteseka na kufa kwa sababu ya uongozi mbovu kwenye siasa ni masikini pia. So, bora mtu ufe ukipambana kuliko kufa kifala...
Probably you are right. But, unapambana na nani, masikini mwezio, ili upate nini?
 
Outstanding!!
I'm eagerly looking forward to watching the debate!
These are some of the things that need to be embraced,Presidential Aspirants must be put to some form of test before being even allowed to start Campaining,that way we know clearly where everyone stands on key issues and their deliberation strategies!!


I hope we too in Tanzania shall copy this and do the needful come 2015
Tanzania ndio waanzilishi wa midahalo ya wagombea uraisi,kama sikosei ilikuwa kati ya Mkapa na Mrema miaka kama 18 iliyopita mara tu baada ya kuruhusiwa vyama vingi kwa hiyo sio eti tuanze kufanya kama walivyofanya Kenya.

Pia ni vizuri mdahalo uwe wa watu wawili ambao ndio washindani wakubwa ,kuwaleta akina Dida,Muite ,Kiyapi na wengineo kulipunguza ladha na muda wa mdahalo. Hao wengine hata waseme maneno matamu kama asali na maziwa hawatafika kokote. Wakenya hawafuati mambo ya mdahalo,wanachofuata ni ukabila na ''wafalme'' wa hayo makabila.

Nawatakia Wakenya uchaguzi mwema hapo March 4. Kumbekeni Kenya si kisiwa,bado budget yenu mnategemea kutoka nje na si kweli kuwa eti hamuhitaji usaidizi kutoka nje.Tafakari majuto ni mjukuu,sisi bado tutakuwepo kwenye JF tukitoa michango ya mawazo
 
Interview: Dida says race is between him and Kiyiapi

Published on 12 Feb 2013http://www.ntv.co.ke
He says he is the voice of the hopeless and the destitute. At thirty-nine years old Mohamed Abduba Dida is the youngest presidential candidate and the first ever from North Eastern Kenya. NTV's Larry Madowo interviewed Dida who says the presidential race is between him and ole Kiyiapi.


source: ntvkenya youtube
 
Last edited by a moderator:

10-Feb.jpg

Hili swali lilipoanza tu, umeme ulikatika Eldoret. (Ruto's constituency)
 
Hili swali lilipoanza tu, umeme ulikatika Eldoret. (Ruto's constituency)
Ila Uhuru kajibu vizuri but mi naona they way Uhuru na Odinga wanavyojibu maswali wapo kijanja zaidi.
Ukiangalia yaani Mudavida anajiamini halafu hana papara
 
wote wamejitahidi lakini Odinga na Kenyatta ni presidential materials
Mi naona Odinga ni Presidential material ila ye na uhuru wanajibu maswali kijanja....kwenye debate mtu ambaye anajiamini na yupo clear ni Mudavida
 
Let Kenyans read between the lines the spoken statements of CORD COALITION PRINCIPLES OF RAILA & KALONZO. To me personally this statement are for people who have realize they have already lost the election and are desperate to look for sympathy. The Coalition for Reforms and Democracy (Cord) has warned Kenya's economy could collapse if leaders facing international isolation are elected to office in next month's elections. Cord leaders Raila Odinga and Kalonzo Musyoka said a battered economy could force Kenyans into serious economic hardships that could undermine internal investments and force massive job cuts. On the same subject, Mr Odinga warned: How can you trust someone who is telling you he is going to run your government through Skype from the Kenyan embassy in The Hague?" "Remove any doubt in your minds, be corded with others across the country and together we will make this nation great in the African continent," he said.
 
Let Kenyans read between the lines the spoken statements of CORD COALITION PRINCIPLES OF RAILA & KALONZO. To me personally this statement are for people who have realize they have already lost the election and are desperate to look for sympathy. The Coalition for Reforms and Democracy (Cord) has warned Kenya's economy could collapse if leaders facing international isolation are elected to office in next month’s elections. Cord leaders Raila Odinga and Kalonzo Musyoka said a battered economy could force Kenyans into serious economic hardships that could undermine internal investments and force massive job cuts. On the same subject, Mr Odinga warned: How can you trust someone who is telling you he is going to run your government through Skype from the Kenyan embassy in The Hague?" "Remove any doubt in your minds, be corded with others across the country and together we will make this nation great in the African continent,” he said.

History is very clear that Africans are the victims of Colonialism. Any colonial threat or any leader who is banking on using colonial threat to lure voters on his/her side has a potential to loose especially in Countries like Kenya where its citizens are confident and wouldn't like to see their country is directed outside their territory. My prayers is to Kenyans that they should conduct this election peacefully to save lives of our loved neighbors. I love Kenyans so much because we have so much in common than any other nation within East Africa through our Swahili traditions. Please don't butcher yourselves this time because that hurts us so much. Vote responsibly and avoid any move that may have a potential towards killing one another.
 
Back
Top Bottom