The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

13107_555155637835412_1285816823_n.jpg
 
Hopefully this will usher in issue based politics not only in Kenya but the region at large. We all have a long way to go and I believe we will make it. Step by cautious step!

I doubt it. They will all revert back to the politics of personal destruction once the debate is over.
 
Leo nchini Kenya kuna mdahalo wa wagombea 8 utafanyika live kupitia tv, hii ni elimu tosha kwa ccm maana ni waoga wa midahalo wakati dunia ya ss huwezi kukwepa. Source bbc
 
I doubt it. They will all revert back to the politics of personal destruction once the debate is over.

I am certain of the growth! Look at where we were 5 years back and today; we have a robust judiciary, a new constitution and we can now even speak of a debate! That is progress! It will not be done in a day but we are headed there!
 
Ule mdahalo uliosubiriwa kwa hamu unategemewa kuanza rasmi saa moja na nusu jioni ya leo Muda wa afrika mashariki. Wageni wanaanza kuwasili. Matangazo yanarushwa live na citizen tv na kbc, pamoja na televisheni nyingine.

Siasa za majirani zetu zinatuhusu kwa sababu wasipokuwa na amani hatuwezi kulala usingizi. Wakenya, kila la kheri katika uchaguzi huu. Msiangalie makabila, sura wala imani. Angalieni sera.
 
I am certain of the growth! Look at where we were 5 years back and today; we have a robust judiciary, a new constitution and we can now even speak of a debate! That is progress! It will not be done in a day but we are headed there!

We'll get the verdict on March 4th.
 
Mkapa, Mrema, and Cheyo participated in one in 1995.
i perfectly understand JK for not wanting to participate. I mean, whatelse was there to discuss?
All the best Kenyans. May this one shed no blood no more.
 
Siasa za jirani zetu Wakenya zimepiga hatua kiasi kwamba wagombea Urais wa nchi hiyo kwenye uchaguzi uakaofanyika mwezi ujao sasa wanaingia kwenye ukumbi wa mdahalo. Vituo vyote vya television huko Kenya pamoja na Channel Ten ya Tanzania sasa vinajiandaa kurusha mdahalo huo live. Naona hii ni hatua kubwa ya kuwatambua wanaotaka kuongoza nchi. Watakuwa wakiwaambia wananchi watawafanyia nini kama waakichaguliwa.

Wapenzi wa siasa za Tanzania na Kenya fatilieni mdahalo huo huenda kutakuwa na jambo la kujifunza hapa.

Je watanzania tutafanya hivyo mwaka 2015?
 
March 4th is not the end point! We are playing the long game my friend!

I know March 4th is not going to be the end but should you go through the election peacefully without hacking each other a la in the aftermath of the last election, that would be a great success.

The cherry on top would be seeing the losers concede gracefully and moving on.
 
Natamani ing'ekuwa kilaza wetu na Dr Slaa..halafu hakuna kutuma maswali wiki moja kabla ya mdahalo...
 
Mtu anaulizwa umezunguka nchi nzima umeona nini jibu nimeona mvua geita, je watanzania wakukumbuke kwa lipi nimewatoa hapa mpak pale
Kwa nini wagombea wa Tanzania wanaakimbia?
 
I agree with that lady panelist..the one in the yellowish top. When it's only issues based Martha Karua is tops.
 
Halafu walisema unaanza saa moja kamili uciku.. Mpaka sasa hiv haujaanza.. When it comes 2 time keeping.. Hatuna tofauti..
 
Je, Mdahalo huu utakuwa kwa manufaa ya wananchi wa kawaida wa Kenya waelewe wagombea urais wanataka kuifanyia Kenya nini ili wafanye uamuzi wa busara yupi wampe kura au mdahalo (debate)ni maalum kuwaridhisha wafadhili wa nchi za Magharibi (Google, CNN, Reuters etc)?

Je wagombea wataweza kujieleza vizuri kwa Kiswahili ili wananchi walio wengi waelewe mipango, sera na ahadi za wagombea urais au wagombea watafanya mdahalo kwa lugha ya Kiingereza kwa ajili ya elite class ya Kenya ambao ni wachache?

Nashauri NTV managing editor Linus Kaikai na Julie Gichuru wa the Royal Media Services wafanye safari ya haraka kuja Tanzania tuwapatie uzoefu tulionao wa midahalo (debate) toka mwaka 1995 ili umma wa Kenya unufaike na zoezi hilo muhimu.
Bagamoyo Kenya hawana tatizo la lugha ya Kiingereza, shida hiyo mnayo nyie ambao tangu 1961 according to Mbunge wa viti maalum am sorry kuteuliwa na dhaifu am sorry again Rais hamhajwahi kuwa na CURRICULUM ila mmekuwa mkitumia SYLABUSS!! Kiingereza ndio Kiswahili chao Kiongozi!!
 
Back
Top Bottom