The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

Utamu wa huu mdahalo unachangiwa na akili na ujuzi wa waendeshaji. Haya mambo ya kutumia makanjanja kuendesha mdahalo huwa ni tatizo kubwa tu. Wanaohoji wako focused and probing.
 
Namwona Raila anasifia Tanzania kutokua na ukabila....

Amemtaja Mwalimu specifically.. Haya mambo ya ukabila na udini yanahitaji ujaciri mkubwa kupambana nayo.. Leo Wakenya wakicikia watanzania wameuana kwa kugombea kuchinja watashangaa..
 
MODS mngeipeleka SIASA hii mpaka debate ikishaisha ili wale wahuni wa CHADEMA na CCM waone jinsi watu wanavyo engage kwenye mijadala yenye akili

Mkuu unatuita Chadema wahuni? Wahuni CCM na ndio maadui wetu Tanzania hata Kenya bila kuitoa KANU haya yasingekuwepo!

Mkuu usirudie kuwaita Chadema wahuni!!!
 
Uhuru Kenyatta mimi simuamini! huyu ni mkabila sana!

Wote ni wakabila tu hao! Kenyatta analamba ile kitu inayolimwa kule Tarime! Baba wa Kenyatta alikuwa mkabila akiwaongoza Wakikuyu na Baba wa Raila alikuwa mkabila akiwaongoza Waluo!
 
Naona maswali mengi wanapigwa Uhuru na Raila.


Mkuu hao ndio mamba wengine ni kenge na mijusi kwenye huo msafara. Unakumbuka jinsi Jaramogi Oginga Odinga alivyopambana na Jommo Kenyatta miaka ya 60? Huu ni mpambano wa kihistoria ukiwakumbusha baba zao walivyokuwa wakipambana kwenye siasa za Kenya enzi hizo.
 
Goma liko uwanjani sasa ukabila ukabila ukabila.....ndo habari ya mdahalo.
 
Utamu wa huu mdahalo unachangiwa na akili na ujuzi wa waendeshaji. Haya mambo ya kutumia makanjanja kuendesha mdahalo huwa ni tatizo kubwa tu. Wanaohoji wako focused and probing.
Natumai wakina Dk 45 na wa haiba hiyo wanajifunza kitu
(sasa na hii lugha tena...sijui)
 
kwa sababu wanaimba kidhungu wimbo wa kiswahili. Hii tabia ya kuslang kiswahili inanikera, especially in ladies.

This Kenneth boy will make a handsome president, i hope he got brains too, lol.

Hon. King'asti, at least they have their own National Anthem....."ours" was composed by a south african...even the melody has its origin in SA....

Is this Kenneth a son of late Kenneth Matiba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…