Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yup...kam-shout out Nyerere. Actually Tanzania imekuwa ikitolewa mfano sana na hao wanasiasa wa Kenya kipindi hiki cha kampeni.
Namwona Raila anasifia Tanzania kutokua na ukabila....
MODS mngeipeleka SIASA hii mpaka debate ikishaisha ili wale wahuni wa CHADEMA na CCM waone jinsi watu wanavyo engage kwenye mijadala yenye akili
Uhuru Kenyatta mimi simuamini! huyu ni mkabila sana!
Raila anaoneka kachooka sana leo! Paulo Muite anaoneka kutawala mdahalo!
Damn tanesco.. Shit..
Pole. Subiri gesi ya Mtwara.
Naona Kenyatta anaanza ku gain momentum.
Naona maswali mengi wanapigwa Uhuru na Raila.
Natumai wakina Dk 45 na wa haiba hiyo wanajifunza kituUtamu wa huu mdahalo unachangiwa na akili na ujuzi wa waendeshaji. Haya mambo ya kutumia makanjanja kuendesha mdahalo huwa ni tatizo kubwa tu. Wanaohoji wako focused and probing.
kwa sababu wanaimba kidhungu wimbo wa kiswahili. Hii tabia ya kuslang kiswahili inanikera, especially in ladies.
This Kenneth boy will make a handsome president, i hope he got brains too, lol.