The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

you of all pple knows beauty is more than skin color. Can you blame me for seeing him, among all the displayed faces? By the way, usisahau im a black racist in fabour of black fellas. Lol

King'asti Kenneth:becky:
 
Kuna candidate mwanamke Martha Karua huyu namlinganisha na Mama Ana Makinda yaani anaonekana hataki mchezo anasema ataupiga vita ukabila!
 
Lakini hii sio tatizo la ukabila bali ni udini!


Mkuu udini ni hatari hata kuliko ukabila. Kwa nchi kama Tanzania ambapo waislamu na wakristo ni kama sawa kwa sawa udini utakuwa na madhara makubwa sana kwa nchi.
 
Peter Kenneth has rightly and confidently tackled the question on tribalism. He seems to be a strong candidate

aaah, haujamsikiliza martha karua bado.
'when people go to bed hungry, their tribe doesnt feed them' .
Ukiwa na njaa anything goes!
 
Kuna candidate mwanamke Martha Karua huyu namlinganisha na Mama Ana Makinda yaani anaonekana hataki mchezo anasema ataupiga vita ukabila!


Siamini kama maneno yale yametoka moyoni ama ni maneno ya mdomoni.
 
I dont expect anybody to outdo Karua but that does not mean that she is best suited for the job
 
MODS mngeipeleka SIASA hii mpaka debate ikishaisha ili wale wahuni wa CHADEMA na CCM waone jinsi watu wanavyo engage kwenye mijadala yenye akili
 
Raila anaoneka kachooka sana leo! Paulo Muite anaoneka kutawala mdahalo!
 
Back
Top Bottom