The 2 Donkeys

Si kweli ni upumbavu mkubwa...miaka bilioni 4 iliyopita kabla hata kristo hajazaliwa walikua wanaishije?Walikua ni complete functional society na sio mnaleta stori za kibwege
 
mkuu, kuwazawadia watu wazima na heshima zao zawadi ya 'BWEGE' , hamjawahi kukutana, hujui wanakulaje, wanategemewa na akina nani, wana michangi gani ktk: familia, mtaa, kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, taifa na hata dunia; napata wasiwasi na kiwango cha salio la nidhamu ya mtoa zawadi hii nono. jukwaa huru kabisa kwa ajili ya kufutia maumivu ya maisha lkn wenzetu mnajazia hasira km koboko! chonde jamani. sio kila uzi lazima uchangie. wanaoweka vikaragosi/emoj nao wana maana nzuri tu
 
Si kweli ni upumbavu mkubwa...miaka bilioni 4 iliyopita kabla hata kristo hajazaliwa walikua wanaishije?Walikua ni complete functional society na sio mnaleta stori za kibwege
na wewe hiyo miaka bilioni 4 una uhakika nayo au na wewe ni bwege?
 
na wewe hiyo miaka bilioni 4 una uhakika nayo au na wewe ni bwege?

Ni scientifically proven mkuu,maabara na sio mambo ya kufikirika....sasa unabisha human civilization ina umri wa 4billion?Kama unabisha fanya experiments zako ndio uwapinge hawa kwa experiments na sio maneno...

Shida watu wa imani mpo defensive sana mtu anapo debunk hoja zenu,tatizo ni nini?Mnajiona hoja zenu ndio sahihi kwa kua dellusional kua "mungu" kawatuma as if aliwaita kikao akawapa barua za wito....

Hebu tujadili hoja kwa lense ya rationality/reasoning narratives maana sio wote duniani tuna-subscribe kwenye specific faiths kama nyie walau tuwe na common grounds wote.
 
ulikuwepo maabara au unaropoka tu???
 
ulikuwepo maabara au unaropoka tu???

Sina haja ya kuwepo physically...unajua kabla ya scientific findings hazijatoka zinafanyiwa vetting kiasi gani?Hivi unaielewa hiyo vetting process kweli?

Besides,sio rocket science mkuu,procedures zipo wazi na kama una maabara yenye uwezo unafanya mwenyewe na unajipatia majibu ujiridhishe kwa macho yako...

Tupo Third World country,walau fanya hata simulation basi,kwa kukusaidia zaidi nenda MIT Online Scientific Lab,fungua account,walipe fee kidogo fanya experiment yoyote online,atleast do by simulation....au na yenyewe huiamini?Nenda Massachussets MIT ukague maabara yote na uone ilivyokua linked online na mtu anapofanya online experiments huku upande wa pili kwenye physical lab nini kinatokea in realtime,kama huamini tena ni heri uende kanisani ukasali itakua ni bora zaidi.
 
wewe umefanya ngapi?
 
wewe umefanya ngapi?

Duh...nimefanya nyingi,nikutajie moja baada ya ingine?Halafu ikusaidie nini hapa jukwaani kama sio fujo tu?

Jamaa mtata sana...endelea "Kusali na Kukesha Kanisani Bila Kufanya Sayansi" Tanzania ibadilike iwe kama Dubai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mbona unajishuku??uliniona lini nipo kanisani?mbona Isaac Newton alikuwa anaenda kanisani na ni Mwanasayansi bora duniani na kwanini usilete hizo experiment zako hapa?

OVER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Si kweli ni upumbavu mkubwa...miaka bilioni 4 iliyopita kabla hata kristo hajazaliwa walikua wanaishije?Walikua ni complete functional society na sio mnaleta stori za kibwege
Unawezakuwa uko sawa ... shida ni hapo ulipotokwa mapovu!!
 
mbona unajishuku??uliniona lini nipo kanisani?mbona Isaac Newton alikuwa anaenda kanisani na ni Mwanasayansi bora duniani na kwanini usilete hizo experiment zako hapa?

OVER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu unafeli...Newton ni mwanadamu na ana principal zake za maisha sio lazima mimi nimuige...sijaja duniani kuiga mtu anaishije...imani ni mambo binafsi ya mtu,siko obliged ku-subscribe on his way of beliefs whatsoever...

Yeye ni yeye....nachotakiwa nisi-violate natural laws,nisisababishe maumivu kwa viumbe wote mimi included na mazingira....

Kama wewe umekuja duniani kutumia ubongo wa mwanadamu mwingine jinsi ya kuishi basi utakua huishi maisha yako,utakua unaishi maisha yake which is epitome of stupidity on your part.

Wote tuna ground moja ya natural laws,reasoning,logic na humanity,mengine yote ni mambo binafsi.Newton tunaelewana kwenye Science maana ipo kwenye Natural Laws,hiyo kusali ni mambo yake binafsi hayanihusu whatsoever[emoji1425][emoji1425][emoji1425][emoji1425]
 
sasa kwanini ushangae mimi kwenda kanisani wakati kila mtu na principal zake??
 
Si kweli ni upumbavu mkubwa...miaka bilioni 4 iliyopita kabla hata kristo hajazaliwa walikua wanaishije?Walikua ni complete functional society na sio mnaleta stori za kibwege
We jamaa mbona unatuvurigia kajukwaa ketu. Nenda jamii Intelligence kuzungumza hivyo vitu. Au wewe ni mmojawapo wa hao punda? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
sasa kwanini ushangae mimi kwenda kanisani wakati kila mtu na principal zake??

Nimeshangaa suala binafsi la kwenda kanisani kulifanya public affair,hapo ndipo mshangao wangu ulipo...

Amini chochote,its none of my business,I do not give a fly rat a.ss whatsoever.
 
We jamaa mbona unatuvurigia kajukwaa ketu. Nenda jamii Intelligence kuzungumza hivyo vitu. Au wewe ni mmojawapo wa hao punda? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Kumbe majukwaa yana ubaguzi?I didnt know...nimekua punda tena?Do punda even know how to type on a phone keyboard?N.egro plzzz have some respect on a human being.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…