Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hiv unajua upo ktk Forum gani?Si kweli ni upumbavu mkubwa...miaka bilioni 4 iliyopita kabla hata kristo hajazaliwa walikua wanaishije?Walikua ni complete functional society na sio mnaleta stori za kibwege
Jamaa kajaa upepo.mkuu hiv unajua ktk Forum gani?
na wewe hiyo miaka bilioni 4 una uhakika nayo au na wewe ni bwege?Si kweli ni upumbavu mkubwa...miaka bilioni 4 iliyopita kabla hata kristo hajazaliwa walikua wanaishije?Walikua ni complete functional society na sio mnaleta stori za kibwege
na wewe hiyo miaka bilioni 4 una uhakika nayo au na wewe ni bwege?
ulikuwepo maabara au unaropoka tu???Ni scientifically proven mkuu,maabara na sio mambo ya kufikirika....sasa unabisha human civilization ina umri wa 4billion?Kama unabisha fanya experiments zako ndio uwapinge hawa kwa experiments na sio maneno...
Shida watu wa imani mpo defensive sana mtu anapo debunk hoja zenu,tatizo ni nini?Mnajiona hoja zenu ndio sahihi kwa kua dellusional kua "mungu" kawatuma as if aliwaita kikao akawapa barua za wito....
Hebu tujadili hoja kwa lense ya rationality/reasoning narratives maana sio wote duniani tuna-subscribe kwenye specific faiths kama nyie walau tuwe na common grounds wote.
ulikuwepo maabara au unaropoka tu???
wewe umefanya ngapi?Sina haja ya kuwepo physically...unajua kabla ya scientific findings hazijatoka zinafanyiwa vetting kiasi gani?Hivi unaielewa hiyo vetting process kweli?
Besides,sio rocket science mkuu,procedures zipo wazi na kama una maabara yenye uwezo unafanya mwenyewe na unajipatia majibu ujiridhishe kwa macho yako...
Tupo Third World country,walau fanya hata simulation basi,kwa kukusaidia zaidi nenda MIT Online Scientific Lab,fungua account,walipe fee kidogo fanya experiment yoyote online,atleast do by simulation....au na yenyewe huiamini?Nenda Massachussets MIT ukague maabara yote na uone ilivyokua linked online na mtu anapofanya online experiments huku upande wa pili kwenye physical lab nini kinatokea in realtime,kama huamini tena ni heri uende kanisani ukasali itakua ni bora zaidi.
wewe umefanya ngapi?
mbona unajishuku??uliniona lini nipo kanisani?mbona Isaac Newton alikuwa anaenda kanisani na ni Mwanasayansi bora duniani na kwanini usilete hizo experiment zako hapa?Duh...nimefanya nyingi,nikutajie moja baada ya ingine?Halafu ikusaidie nini hapa jukwaani kama sio fujo tu?
Jamaa mtata sana...endelea "Kusali na Kukesha Kanisani Bila Kufanya Sayansi" Tanzania ibadilike iwe kama Dubai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawezakuwa uko sawa ... shida ni hapo ulipotokwa mapovu!!Si kweli ni upumbavu mkubwa...miaka bilioni 4 iliyopita kabla hata kristo hajazaliwa walikua wanaishije?Walikua ni complete functional society na sio mnaleta stori za kibwege
mbona unajishuku??uliniona lini nipo kanisani?mbona Isaac Newton alikuwa anaenda kanisani na ni Mwanasayansi bora duniani na kwanini usilete hizo experiment zako hapa?
OVER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sasa kwanini ushangae mimi kwenda kanisani wakati kila mtu na principal zake??Mkuu unafeli...Newton ni mwanadamu na ana principal zake za maisha sio lazima mimi nimuige...sijaja duniani kuiga mtu anaishije...imani ni mambo binafsi ya mtu,siko obliged ku-subscribe on his way of beliefs mambo yake binafsi hayanihusu whatsoever[emoji1425][emoji1425][emoji1425][emoji1425]
We jamaa mbona unatuvurigia kajukwaa ketu. Nenda jamii Intelligence kuzungumza hivyo vitu. Au wewe ni mmojawapo wa hao punda? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Si kweli ni upumbavu mkubwa...miaka bilioni 4 iliyopita kabla hata kristo hajazaliwa walikua wanaishije?Walikua ni complete functional society na sio mnaleta stori za kibwege
sasa kwanini ushangae mimi kwenda kanisani wakati kila mtu na principal zake??
We jamaa mbona unatuvurigia kajukwaa ketu. Nenda jamii Intelligence kuzungumza hivyo vitu. Au wewe ni mmojawapo wa hao punda? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]