Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
-
- #21
Hili zungu la unga lilikua balaa, mpaka serikali ya Colombia ilifyata mkia, alikua mkubwa kuliko nchi.
Hili zungu la unga lilikua balaa, mpaka serikali ya Colombia ilifyata mkia, alikua mkubwa kuliko nchi.
Huwezi kushindana na serikali,pablo aliua sana wanasiasa, lakini mwisho serikali ya colombia iliibuka mshindi.
utajiri wa zaidi ya $ billion 30 ni kubwa sana,hiyo ni bajeti yetu ya nchi karibia miaka 6,alikuwa hatari sana
Bajeti ya Tanzania ni $$$$$$ kwa mwaka?
Aliishinda serikali chini ya Rais mmoja akashindwa na utawala uliofata.
Kwa maana hiyo serikali yetu ikiamua inaweza kupambana na vigogo wa madawa hapa nchini.
where is Pablo Escoba ?
Cheki wikipedia huyu jamaa alisha uwawa
kila mtu na starehe yake...
Anaekula Unga mwacheni aule.
Wewe inakuhusu nini?
Kama si ushambenga na upashkuna tu
Utetezi wako kwa watu wa sembe unanifanya ni conclude Chomba ni punda FACT