The 20 Richest Drug Dealers of All Time

The 20 Richest Drug Dealers of All Time

Hili zungu la unga lilikua balaa, mpaka serikali ya Colombia ilifyata mkia, alikua mkubwa kuliko nchi.

utajiri wa zaidi ya $ billion 30 ni kubwa sana,hiyo ni bajeti yetu ya nchi karibia miaka 6,alikuwa hatari sana
 
hyo wa kwanza frank lucas ndyo wali act maisha yake kwenye movie america gangstar
 
Huwezi kushindana na serikali,pablo aliua sana wanasiasa, lakini mwisho serikali ya colombia iliibuka mshindi.
 
Huwezi kushindana na serikali,pablo aliua sana wanasiasa, lakini mwisho serikali ya colombia iliibuka mshindi.

Aliishinda serikali chini ya Rais mmoja akashindwa na utawala uliofata.
 
If azzan idd,kinjekitile and riz moko are not incuded then the list is fake.
 
Hahaha Utingo huyo jamaa umempa shit za chembe....huko aliko lazima amekaa
 
Last edited by a moderator:
Unahesabuje hela ambazo haziingii katika mfumo rasmi?

Frank Lucas kaleta mdude kwa majeneza (See "American Gangster" ) unataka kusema ame net 20 mill tu?

Hizo figure zimekuwa adjusted with time? Unalinganishaje figures za 1920s na 1990s?

Joe Kennedy kauza drugs?
 
Kwa maana hiyo serikali yetu ikiamua inaweza kupambana na vigogo wa madawa hapa nchini.

Tukiamua Inawezekana bila zengwe. Lkn kumbuka ya wale mafisadi tu jamaa alisema HATUWAWEZI WANA NGUVU SANA, sasa kwa hawa wazungu wa unga naona wanahanyahanya na matawi tu ilhali mizizi wanaijua na hawaigusi.
 
Cheki wikipedia huyu jamaa alisha uwawa

Sio kuuawa tu, aliuawa kishenzi akiwa kashapoteza direction na kuyumba kidili na kimaisha kwani alipotoroka gerezani alikuta wapinzani wake kwenye biashara ya sembe wameshajitanua na kudhamiria kumpoteza.
 
kila mtu na starehe yake...
Anaekula Unga mwacheni aule.
Wewe inakuhusu nini?
Kama si ushambenga na upashkuna tu
 
kila mtu na starehe yake...
Anaekula Unga mwacheni aule.
Wewe inakuhusu nini?
Kama si ushambenga na upashkuna tu

Utetezi wako kwa watu wa sembe unanifanya ni conclude Chomba ni punda FACT
 
Utetezi wako kwa watu wa sembe unanifanya ni conclude Chomba ni punda FACT


Jina utakaloona linafaa kuniita ni sawa tu sheikh...
Ila kila mtu na maisha yake, kila mtu na utafutaji wake na kila mtu na starehe yake.

Wabongo kwa kupenda kucheza wimbo mpya dah wamewekewa CD ya Madawa ya kulevya yaani kila tukiamka ishu ni madawa ya kulevya, kila mtaa utakaopita ishu ni madawa ya kulevya...ati mmesahau kabisa kuwa Twiga wanapandishwa kwenye Ndege na kutoroshwa, mmesahau Tembo wanazidi kupoteza uhai, mmesahau madhambi yoote yanayofanywa na serikali punguwani hii ya CCM na kwa sasa akili zenu ni kujadili madawa ya kulevya tu...

Jiulize Njiwa hao viongozi wanaojishaua kama Mwakyembe je kwanini hawataji vigogo wenyewe wa Dawa hizo?
Ila anaishia kumbwelambwela tu kuwafumba macho...

Ishu ya Unga ni ya kuwapotezeni maboya tu nyie wakurupukaji...

Mark n bind it...
 
Back
Top Bottom