The 20 Richest Drug Dealers of All Time

The 20 Richest Drug Dealers of All Time

Jina utakaloona linafaa kuniita ni sawa tu sheikh...
Ila kila mtu na maisha yake, kila mtu na utafutaji wake na kila mtu na starehe yake.

Wabongo kwa kupenda kucheza wimbo mpya dah wamewekewa CD ya Madawa ya kulevya yaani kila tukiamka ishu ni madawa ya kulevya, kila mtaa utakaopita ishu ni madawa ya kulevya...ati mmesahau kabisa kuwa Twiga wanapandishwa kwenye Ndege na kutoroshwa, mmesahau Tembo wanazidi kupoteza uhai, mmesahau madhambi yoote yanayofanywa na serikali punguwani hii ya CCM na kwa sasa akili zenu ni kujadili madawa ya kulevya tu...

Jiulize Njiwa hao viongozi wanaojishaua kama Mwakyembe je kwanini hawataji vigogo wenyewe wa Dawa hizo?
Ila anaishia kumbwelambwela tu kuwafumba macho...

Ishu ya Unga ni ya kuwapotezeni maboya tu nyie wakurupukaji...

Mark n bind it...

Cha ajabu yule anayepinga madawa ndio mfanyabiashara mkubwa wa aya madawa
 
Umenena vyema mkuu Gang Chomba . Sasa hivi itakuja single mpya na tutaitika tu, eh si kichwa cha mwendawazimu tu......tunacheza kila mdundo. Single zilizopita zimeshapita, hatuna haja ya conclusion.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom