Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
But 1 question:Without any doubt Houston will try their level best to take this series to game 7 due to fact that their chances of winning game 6 have increased a little bit .
But 1 question:
Game 5 baada ya kutoka kwa KD kwanini waliashindwa kutake over? Hii kitu inanipa wasiwasi kwamba wanaweza wakapoteza pia game 6.
Ku-adjust namna ya kucheza dhidi ya GSW ndani ya game siyo rahisi. Lakini kwa game nzima, Rockets wana nafasi ya ku-adjust.But 1 question:
Game 5 baada ya kutoka kwa KD kwanini waliashindwa kutake over? Hii kitu inanipa wasiwasi kwamba wanaweza wakapoteza pia game 6.
Mimi sina wasi wasi na uwezo wa timu ya Warriors kama ilivyo hata bila KD, swali ni je Rockets watacheza basketball au mieleka! Nina wasi wasi kama splash brothers watamaliza mchezo salama.GSW wapo juu hata kabla ya ujio wa KD na sura nyingi zikiwa bado zipo oracle. The splash bros will lead the offense. In my opinion, KD was left to do what he did best and the rest to feed him, now that he is out, their coach will come with a plan to beat HR.
Usije ukaleta kisingizio cha KD na Boogie kutokuwepo.Mimi sina wasi wasi na uwezo wa timu ya Warriors kama ilivyo hata bila KD, swali ni je Rockets watacheza basketball au mieleka! Nina wasi wasi kama splash brothers watamaliza mchezo salama.
But 1 question:
Game 5 baada ya kutoka kwa KD kwanini waliashindwa kutake over? Hii kitu inanipa wasiwasi kwamba wanaweza wakapoteza pia game 6.
Ha ha haa, hebu pitia tena post yangu ukiwa umevua ile miwani ya #defendtheland !Usije ukaleta kisingizio cha KD na Boogie kutokuwepo.
Splash brothers!!WOW!
Noma sana aisee GSW babyKuwatoa GS kwenye best of seven kwa sasa ni ngumu mno. Hata KD akiumia/akihama bado kuna Curry, Green na Klay. Na KD akiondoka wanaweza kutafuta free agent mwingine kama Kemba.
Boss huyu jamaa bado yupo CAVS tu si kahama na lebron kwenda lakersHa ha haa, hebu pitia tena post yangu ukiwa umevua ile miwani ya #defendtheland !
Nzi kwake chooni.Usije ukaleta kisingizio cha KD na Boogie kutokuwepo.
Sina excuse ndugu yangu...excuse ya nini? Kwa wasioijua Warriors waliokuwa wakisema wamekwisha bila KD, nadhani baada ya leo somo limeingia. Hii inaitwa basketball, achaneni na mieleka. Hii si mara ya kwanza Curry kutoa funzo kwa Harden nyumbani kwake kwamba ukiona vyaelea vimeundwa. Shawn, Bogut, Draymond, Iguadala, Klay na Curry...hawa ndio Warriors original waliochukua ubingwa bila kuwa na star hata moja aliyewahi kushiriki NBA playoffs wala NBA finals.Usije ukaleta kisingizio cha KD na Boogie kutokuwepo.