The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Without any doubt Houston will try their level best to take this series to game 7 due to fact that their chances of winning game 6 have increased a little bit .
But 1 question:
Game 5 baada ya kutoka kwa KD kwanini waliashindwa kutake over? Hii kitu inanipa wasiwasi kwamba wanaweza wakapoteza pia game 6.
 
But 1 question:
Game 5 baada ya kutoka kwa KD kwanini waliashindwa kutake over? Hii kitu inanipa wasiwasi kwamba wanaweza wakapoteza pia game 6.

Rhythm was already set, KD was out for only a quarter.

Bahati nzuri kwao, Harden went cold for the whole quarter, alifunga kitu kama 3 points pekee.

KD kutokuwepo mwanzo mpaka mwisho wa game si swala dogo.
 
But 1 question:
Game 5 baada ya kutoka kwa KD kwanini waliashindwa kutake over? Hii kitu inanipa wasiwasi kwamba wanaweza wakapoteza pia game 6.
Ku-adjust namna ya kucheza dhidi ya GSW ndani ya game siyo rahisi. Lakini kwa game nzima, Rockets wana nafasi ya ku-adjust.

GSW wana machaguo mawili: kukubali kuwa blown out ili Steph and Klay wasicheze 40+ minutes, au kukubali kushindwa kwa tofauti ya points 5 na kwenda game 7 wakiwa wamechoka balaa, baada ya Steph, Klay na Draymond kucheza 40+ minutes.
 
GSW wapo juu hata kabla ya ujio wa KD na sura nyingi zikiwa bado zipo oracle. The splash bros will lead the offense. In my opinion,KD was left to do what he did best and the rest to feed him,now that he is out,their coach will come with a plan to beat HR.
 
GSW wapo juu hata kabla ya ujio wa KD na sura nyingi zikiwa bado zipo oracle. The splash bros will lead the offense. In my opinion, KD was left to do what he did best and the rest to feed him, now that he is out, their coach will come with a plan to beat HR.
Mimi sina wasi wasi na uwezo wa timu ya Warriors kama ilivyo hata bila KD, swali ni je Rockets watacheza basketball au mieleka! Nina wasi wasi kama splash brothers watamaliza mchezo salama.
 
Mimi sina wasi wasi na uwezo wa timu ya Warriors kama ilivyo hata bila KD, swali ni je Rockets watacheza basketball au mieleka! Nina wasi wasi kama splash brothers watamaliza mchezo salama.
Usije ukaleta kisingizio cha KD na Boogie kutokuwepo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Very valid point but now they know that GSW’s best player so far is KD and won’t be available tonight and maybe on Sunday, that is a huge motivation for Rockets to play with sense of urgency in order not to lose this rare opportunity to go to NBA Finals. I have no plans to miss tonight’s game. I know for sure it will be one hell of a game. I hope referees will behave accordingly.

But 1 question:
Game 5 baada ya kutoka kwa KD kwanini waliashindwa kutake over? Hii kitu inanipa wasiwasi kwamba wanaweza wakapoteza pia game 6.
 
Rockets wanachezea shilingi chooni.
 
Hawa jamaa ndio wamechambua vizuri kitu ambacho ata mimi nimekiona throughout the season Kevin Durrant is the best players in NBA no dobut hila ni luxury to GSW not a necessity. Sanasana kawafanya Steph na Clay kupunguza kujiamini na kumtegema but GSW can win a championship without him.

Win or lose I am liking Clay so far tonight anavyochukua command as he used to.
 
Kuwatoa GS kwenye best of seven kwa sasa ni ngumu mno. Hata KD akiumia/akihama bado kuna Curry, Green na Klay. Na KD akiondoka wanaweza kutafuta free agent mwingine kama Kemba.
 
#strengthinnumbers... that is the DUBS! Nina imani na Warriors when duty calls!
 
Usije ukaleta kisingizio cha KD na Boogie kutokuwepo.
Sina excuse ndugu yangu...excuse ya nini? Kwa wasioijua Warriors waliokuwa wakisema wamekwisha bila KD, nadhani baada ya leo somo limeingia. Hii inaitwa basketball, achaneni na mieleka. Hii si mara ya kwanza Curry kutoa funzo kwa Harden nyumbani kwake kwamba ukiona vyaelea vimeundwa. Shawn, Bogut, Draymond, Iguadala, Klay na Curry...hawa ndio Warriors original waliochukua ubingwa bila kuwa na star hata moja aliyewahi kushiriki NBA playoffs wala NBA finals.

Steph Curry: 16 points in the last 5 minutes, that's how great he is!
 
Back
Top Bottom