The 2019 NBA Playoffs

Hivi Guys,Mnaamini Kwamba warriors Wanaweza Kuwafunga akina Kawhi au Giannis without KD...
They need our final mvp 1 more time.
Mchezo wanaoucheza Warriors ni tofauti sana na ule uliokuwa ukichezwa huko East. Kama Rockets ilitolewa in 5 basi ukae tu na amani, huko East ni mteremko tu. Naamini baada ya siku 9 za mapumziko, majeruhi wote watakuwa fit isipokuwa labda Boogie lakini hii isikupe hofu kama u mpenzi wa DUBNATION. Warriors wanapokuwa hawapewi nafasi ndio huonesha maajabu na hivi ndivyo itakavyokuwa...kama huamini muulize Barkley, tabiri zake zote toka GSW watwae ubingwa kwa mara ya kwanza zimeangukia pua!
 
Halafu huwa sijui kwanini barkeley ana kuwa hater was kiwango hiki .

Yaani yeye kila siku yuko against warriors

So ajabu hajawahi shida Ring yeyote
 
Halafu huwa sijui kwanini barkeley ana kuwa hater was kiwango hiki .

Yaani yeye kila siku yuko against warriors

So ajabu hajawahi shida Ring yeyote

Media business mkuu, si ajabu anachoongea mbele ya kamera ni tofauti na achoongea kamera zikizimwa.

Lazima utengeneze style ambayo watu watakuwa na sababu ya kuangalia kipindi chako.

The same goes to Skip Bayless vs LeBron, huwa anaongea vitu mpaka unashangaa kama katumia akili yake au matope.

That is how you create viewers.
 
Hahahahahaj daaah
 
The warriors are like The incredible HULK, KD is like a GUN, THE HULK DON'T NEED A GODAMM GUN MAN, U ever see the HULK with a GUN? Put the GUN down HULK, Let the KNICKS have the GUN, they need one [emoji853][emoji22]... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
With a light touch...kitu kimoja kiko wazi, hakuna timu inaikaribia Warriors katika imani yake ya strength in numbers. Hutamuona mchezaji wa Warriors amechoka kama Giannis au Kawhi kiasi cha kushindwa hata kusogeza mguu! Labda kinachoonekana kuchoka Warriors wanapokuwa uwanjani ni mpira wenyewe unavyotembezwa, hautulii. Kama mpira ungeweza kuongea bila shaka ungelalamika sana unapokuwa mikononi mwa Warriors, mpira unahangaishwa utadhani hauna mwenyewe. Harden, Westbrook, Giannis, Kawhi na wengineo wakicheza utadhani wana hatimiliki ya mpira na wenzao kubaki wamesimama tu wakisubiri maamuzi yao utadhani timu ni ya mtu moja.
 
Can the Raptors sustain this lead? 68-57
 
Can the Raptors sustain this lead? 68-57
It is 2-2 just like I predicted. There's a chance there will be game 7. Raptors are leading big by 20 points, there's no comeback for the Bucks! Maybe if they were the Warriors😀!
 
Reactions: BAK
Raptors, although Kahwi’s performance tonight was so so, were exceptional especially their bench.

It is 2-2 just like I predicted. There's a chance there will be game 7. Raptors are leading big by 20 points, there's no comeback for the Bucks! Maybe if they were the Warriors😀!
 
Ila Great play for Lowry tonight, Maana Kwenye Star Players Score amemzidi Kawhi Kwa Points, Asts na Hata Rebs, Also props to Serge Ibaka for stepping up his game.
 
This is why veteran teams with an elite player are so dangerous, Raptors aren't going to be an easy out. No one on the Bucks roster has deep playoff experience, besides Hill & Pau who's out injured. This will be a seven game series and in Game 7, anything goes! All tied up 2-2!
 
Kwa Maoni yangu Kabla Bucks Hajaiwaza final nafikiri anatakiwa kuwaza jinsi ya Kumtoa Raptors, ule ni mlima kamili anatakiwa kuupanda kabla ya kuwaona GSW ambao ni kama mfupa mgumu sana kwa Blazzerz,

Nasema hivyo kwa sababu Bucks na Raptors level yao ya ubora ni kama inalingana , sio kwamba ni timu mbili ambazo zimezidiana sana uwezo kiasi cha kusema Bucks aanze kuwaza final.

Ila usishangae series yao ikaamuliwa kwenye game 7
 
The 2018-19 NBA All Defensive First Team includes Rudy Gobert, Giannis Antetokounmpo, Paul George, Marcus Smart and Eric Bledsoe. The 2018-19 NBA All Defensive Second team Includes Jrue Holiday, Kawhi Leonard, Draymond Green, Klay Thompson & Joel Embiid. This is the first time in Klay's career that he has made it to an All Defensive team.
 
Reactions: BAK

Impressed with Marcus Smart making it to first team, one of the guys who puts everything on the floor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…