Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Nadhani Draymond ni One of the most important guys in the Warriors kwa maana ya offense and defense.Hahahahah KD arudi game 3 baada ya kuwabamiza hao EAST game 2 za finals
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Draymond ni One of the most important guys in the Warriors kwa maana ya offense and defense.Hahahahah KD arudi game 3 baada ya kuwabamiza hao EAST game 2 za finals
Mchezo wanaoucheza Warriors ni tofauti sana na ule uliokuwa ukichezwa huko East. Kama Rockets ilitolewa in 5 basi ukae tu na amani, huko East ni mteremko tu. Naamini baada ya siku 9 za mapumziko, majeruhi wote watakuwa fit isipokuwa labda Boogie lakini hii isikupe hofu kama u mpenzi wa DUBNATION. Warriors wanapokuwa hawapewi nafasi ndio huonesha maajabu na hivi ndivyo itakavyokuwa...kama huamini muulize Barkley, tabiri zake zote toka GSW watwae ubingwa kwa mara ya kwanza zimeangukia pua!Hivi Guys,Mnaamini Kwamba warriors Wanaweza Kuwafunga akina Kawhi au Giannis without KD...
They need our final mvp 1 more time.
Sure kabisa jamaa ni MTU muhimu sana pale ndaniNadhani Draymond ni One of the most important guys in the Warriors kwa maana ya offense and defense.
Halafu huwa sijui kwanini barkeley ana kuwa hater was kiwango hiki .Mchezo wanaoucheza Warriors ni tofauti sana na ule uliokuwa ukichezwa huko East. Kama Rockets ilitolewa in 5 basi ukae tu na amani, huko East ni mteremko tu. Naamini baada ya siku 9 za mapumziko, majeruhi wote watakuwa fit isipokuwa labda Boogie lakini hii isikupe hofu kama u mpenzi wa DUBNATION. Warriors wanapokuwa hawapewi nafasi ndio huonesha maajabu na hivi ndivyo itakavyokuwa...kama huamini muulize Barkley, tabiri zake zote toka GSW watwae ubingwa kwa mara ya kwanza zimeangukia pua!
Halafu huwa sijui kwanini barkeley ana kuwa hater was kiwango hiki .
Yaani yeye kila siku yuko against warriors
So ajabu hajawahi shida Ring yeyote
Hahahahahaj daaahMedia business mkuu, si ajabu anachoongea mbele ya kamera ni tofauti na achoongea kamera zikizimwa.
Lazima utengeneze style ambayo watu watakuwa na sababu ya kuangalia kipindi chako.
The same goes to Skip Bayless vs LeBron, huwa anaongea vitu mpaka unashangaa kama katumia akili yake au matope.
That is how you create viewers.
The warriors are like The incredible HULK, KD is like a GUN, THE HULK DON'T NEED A GODAMM GUN MAN, U ever see the HULK with a GUN? Put the GUN down HULK, Let the KNICKS have the GUN, they need one [emoji853][emoji22]... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchezo wanaoucheza Warriors ni tofauti sana na ule uliokuwa ukichezwa huko East. Kama Rockets ilitolewa in 5 basi ukae tu na amani, huko East ni mteremko tu. Naamini baada ya siku 9 za mapumziko, majeruhi wote watakuwa fit isipokuwa labda Boogie lakini hii isikupe hofu kama u mpenzi wa DUBNATION. Warriors wanapokuwa hawapewi nafasi ndio huonesha maajabu na hivi ndivyo itakavyokuwa...kama huamini muulize Barkley, tabiri zake zote toka GSW watwae ubingwa kwa mara ya kwanza zimeangukia pua!
It is 2-2 just like I predicted. There's a chance there will be game 7. Raptors are leading big by 20 points, there's no comeback for the Bucks! Maybe if they were the Warriors😀!Can the Raptors sustain this lead? 68-57
It is 2-2 just like I predicted. There's a chance there will be game 7. Raptors are leading big by 20 points, there's no comeback for the Bucks! Maybe if they were the Warriors😀!
112-93 with 4 minutes to go!Raptors, although Kahwi’s performance tonight was so so, were exceptional especially their bench.
Mkuu,unatamani ukutane na nani kati yao walau upate urahisi wa kushinda final? Maana mwanzoni niliwaogopa bucks ila hata raptors sio wa mchezo mchezo112-93 with 4 minutes to go!
The 2018-19 NBA All Defensive First Team includes Rudy Gobert, Giannis Antetokounmpo, Paul George, Marcus Smart and Eric Bledsoe. The 2018-19 NBA All Defensive Second team Includes Jrue Holiday, Kawhi Leonard, Draymond Green, Klay Thompson & Joel Embiid. This is the first time in Klay's career that he has made it to an All Defensive team.
Congrats Marcus Smart well deserved. The Celtics need 11 more guys with the same grit, heart and will too win[emoji459][emoji471]Impressed with Marcus Smart making it to first team, one of the guys who puts everything on the floor.