VeronicaAmadu
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 310
- 380
Sio kujiangusha labda humjui vizuri steph au ndio umeanza kumwona LeoHuyu Carry ni Neymar wa basketball na kujiangusha kwake. Thats a shame!
Hahahahah haya bhanaI love raptors all are humble players coupled with their talents and abilities to beat warriors, Go Go Go RAPTORS with Kawhi [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji854]
Sio kujiangusha labda humjui vizuri steph au ndio umeanza kumwona Leo
Body size yake na uzito pia anapambana na mijitu iliyomzidi kimo na uzito .
Kupenetrate pale kati dhidi ya watu warefu ili ufunge sio kazi rahisi
Na ile ndio staili yake ya uchezaji .
So umkabali kama alivyo.
Anyway tumepoteza game one sio mbaya
See u game 2
Hahahahah hujaelewa nilichoandika hapoSijaanza leo kumuangalia Curry namuona kila mwaka, hiyo ni mbinu yake ambayo amei master anagongana na mtu kwa namna ya kum set up na as he is about to fall he throwa the ball na anapata foul ya three. I've seen him do that countless times.
See U Game II June IISijaanza leo kumuangalia Curry namuona kila mwaka, hiyo ni mbinu yake ambayo amei master anagongana na mtu kwa namna ya kum set up na as he is about to fall he throwa the ball na anapata foul ya three. I've seen him do that countless times.
Hahahahah hujaelewa nilichoandika hapo
Physical size and weight ndio vinamfanya hao hivyo anavyoplay na kwamba inamwia ngumu kwake kudunk moja kwa moja ndani ya msitu wa wa watu walionzidi kimo
6'3 vs 6' 7 and above sio mchezo .
So usimchukie sana ndio staili yake ya kucheza tangu na tangu .
See u game 2 on Monday morning
See U Game II June II
Hahahahah haya bhanaNdugu suala la kumchukia halipo kwangu, Steph is one of the best player ever na i enjoy watching him play, tumetofautiana opinion on him lakini naomba usiniwekee neno mdomoni.
Nimesema hiyo ni mbinu anayoitumia na it seems to work for him so he will keep doing that as long as he gets away with it.
Lets agree to disagree, lets enjoy the series, ni mapema mno ni game one, its too early, ngoja tufike game 4 huko ndo tutoane macho vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku njema Mazigazi.
Ha ha haaa...naona nawe umedandia bandwagon ya Raptors, tafadhali safari hii nakuomba usikimbie kama ulivyozoea kufanya mambo yanapokuendea kombo!The new star is born. Pascal Siakam from Cameroon.
Ndugu suala la kumchukia halipo kwangu, Steph is one of the best player ever na i enjoy watching him play, tumetofautiana opinion on him lakini naomba usiniwekee neno mdomoni.
Nimesema hiyo ni mbinu anayoitumia na it seems to work for him so he will keep doing that as long as he gets away with it.
Lets agree to disagree, lets enjoy the series, ni mapema mno ni game one, its too early, ngoja tufike game 4 huko ndo tutoane macho vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku njema Mazigazi.
Ha ha haaa...naona nawe umedandia bandwagon ya Raptors, tafadhali safari hii nakuomba usikimbie kama ulivyozoea kufanya mambo yanapokuendea kombo!
Mentality ya GSWs fans ndiyo hiyo, kwamba any critic ni hater.
Jamaa wanapenda kulialia sana, asilimia 90+ wako hivyo, siyo humu JF tu hata ukiingia forums zingine za nje ni hivi hivi.
Hahahahahah ndio zao, wapambane na hali yao sio kila kitu "hater" [emoji23] wengine tupo ku enjoy basketball tu not to hate anyone.
Eti GSW wanapenda kulialia! You've got to be kidding! Kwangu hii GSW kulialia ni mpya kabisaaaa! Okay, kuficha asili kweli si kitu rahisi, karibu sana Don Clericuzio!Hahaha, next game wanakufa tena. Tukienda Oakland tunachukua game moja mchezo.
Jamaa wanapenda kulialia sana, asilimia 90+ wako hivyo, siyo humu JF tu hata ukiingia forums zingine za nje ni hivi hivi.
Eti GSW wanapenda kulialia! You've got to be kidding! Kwangu hii GSW kulialia ni mpya kabisaaaa! Okay, kuficha asili kweli si kitu rahisi, karibu sana Don Clericuzio!
Wewe prediction yako ni Game 2 raptors akishinda anaweza akabeba ili akuluz basi Golden State anaweza akabeba right???Raptors akishinda game 2 ana nafasi kubwa ya kushinda hii fainali na ninaamini wanalifahamu hili kwa hiyo tutegemee their best ever performance if they are to win this series. Tatizo linakuja kwa GSW pamoja na kufungika mwaka huu kama ukiweza kuwabana vizuri na bahati ikawa upande wako, bado GSW ni Champions na wana roho ya kiChampion na ukizingatia historia wanayotaka kuiandika kwenye NBA tutegemee a much better performance zaidi ya game 1. Na GSW wakiwa [emoji91][emoji91][emoji91] kuwazuia si jambo linalowezekana kirahisi. GSW wakirudi Oakland na matokeo ya 1-1 nawapa nafasi ya kushinda hii series, ila Raptors wakienda Oakland na uongozi wa 2-0 nawapa nafasi kwani naamini wakiweza kuwafunga GSW kwenye game 2 hawawezi shindwa kupata japo ushindi wa game moja ugenini.