fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,809
- 8,032
Tangu playoff ya msimu huu ilipoanza kumekuwa na kutokutabirika kwingi game baada ya game. Wale waliopewa nafasi ya kuingia conference finals wamebaki nje na wasiotabiriwa mazuri ndio tunao hadi mwisho.
Nimekuwa nikiwfuatilia wchambuzi nguli wa basketball,tabiri zao pia zimegonga mwamba. Kwahiyo hata ushindi wa raptors jana wengi hawakubashiri ushindi kwao ila walipenda ashinde. Raptors wakishinda game 2 wanaongeza uwezekano wa kushinda series ila sio guarantee. Mfano mbichi kabisa ni wao dhidi ya milwaukee,waliongozwa 2-0,lakini wakashinda series. Gsw amewahi kuwa nyuma 3-1 dhidi ya okc ya akina kd akapindua matokeo,cavaliers pia amewahi kuwa nyuma 3-1 dhidi ya warriors akapindua hadi kushinda series.
Kwangu mimi hii series haitakuwa rahisi kwa yeyote maana bado hatujaona potential za key players wa pande zote mbili,kutakuwa na adjustment kwenye kila game kulingana na matokeo hivyo tufurahie series tofauti na miaka 3 iliyopita (gsw v cavaliers)