The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Tangu playoff ya msimu huu ilipoanza kumekuwa na kutokutabirika kwingi game baada ya game. Wale waliopewa nafasi ya kuingia conference finals wamebaki nje na wasiotabiriwa mazuri ndio tunao hadi mwisho.
Nimekuwa nikiwfuatilia wchambuzi nguli wa basketball,tabiri zao pia zimegonga mwamba. Kwahiyo hata ushindi wa raptors jana wengi hawakubashiri ushindi kwao ila walipenda ashinde. Raptors wakishinda game 2 wanaongeza uwezekano wa kushinda series ila sio guarantee. Mfano mbichi kabisa ni wao dhidi ya milwaukee,waliongozwa 2-0,lakini wakashinda series. Gsw amewahi kuwa nyuma 3-1 dhidi ya okc ya akina kd akapindua matokeo,cavaliers pia amewahi kuwa nyuma 3-1 dhidi ya warriors akapindua hadi kushinda series.
Kwangu mimi hii series haitakuwa rahisi kwa yeyote maana bado hatujaona potential za key players wa pande zote mbili,kutakuwa na adjustment kwenye kila game kulingana na matokeo hivyo tufurahie series tofauti na miaka 3 iliyopita (gsw v cavaliers)
 
Hahaha, mimi nashangilia timu yoyote inayompa upinzani GSWs. Ila mnanishangaza kutumia neno chuki (hating) ilitokea mtu anapo amua kutokuwa upande wenu.
Unanikumbusha rafiki yangu moja kwenye miaka ya 70s ambaye tuliambatana pamoja katika kila mechi iliyozihusu Simba na Yanga na kukaa pamoja upande wa Simba.

Ingawa mimi nilikuwa ni mpenzi mkubwa wa Simba yeye alidai ni mpenzi tu wa soka asiye na upande anayefurahia mchezo na kweli hakuonesha dalili yoyote ya kuguswa na matokeo. Kwa hiyo miaka mitano Simba ilikuwa ikiifunga Yanga.

Mwaka wa sita tuliambatana kama kawaida yetu hadi uwanja wa taifa kushuhudia mechi kati ya timu mbili zilizofuzu kuingia fainali nazo kama kawaida zilikuwa Simba na Yanga. Timu hizi mbili zilipokutana matokeo yalikuwa ama ni 1-0 au 2-1.

Siku hiyo hadi kipenga cha mwisho timu zilikuwa zimefungana 1-1 na iliamuliwa penalti zipigwe kutafuta mshindi na Yanga ikashinda. Huwezi kuamini...jamaa yangu aliruka kama aliyepatwa na kichaa akishangilia kama mwehu.

Hakujali kabisa kuwa tumekaa upande wa Simba waliokuwa kama wamemwagiwa maji baridi huku mimi nikibaki nimepigwa butwaa na kuduwaa nikijiuliza vipi huyu mwenzangu, kapatwa na nini? Alah, kumbe ni Yanga damu damu!

Toka siku hiyo niligundua kuwa hakuna asiye na upande ila wapo wanaoweza kuficha wako upande gani lakini ni swala la muda tu, iko siku matokeo yatawaumbua tu kama mchezo wa jana ulivyokuumbua Don Clericuzio...ha ha haa!
 
Ushabiki unakuja kutokana na sababu mbalimbali.

Kwenye ushabiki wangu mara nyingi sana huwa nakuwa upande tofauti na timu pendwa, au ile inayowanyanyasa wenzake.

Na ndiyo maana kila timu inayokuwa inamtunishia msuli GSWs mimi naishabikia.

Huyo jamaa yako ukute huruma ilimjia kuona kila siku ni Yanga tu anayefungwa, hivyo walipojitetea akafurahi.

Na nature ya ushabiki ni kuwa na tofauti, ili tupate kuchangamshana, sote tukiwa upande mmoja ladha inapungua.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tangu playoff ya msimu huu ilipoanza kumekuwa na kutokutabirika kwingi game baada ya game. Wale waliopewa nafasi ya kuingia conference finals wamebaki nje na wasiotabiriwa mazuri ndio tunao hadi mwisho.
Nimekuwa nikiwfuatilia wchambuzi nguli wa basketball,tabiri zao pia zimegonga mwamba. Kwahiyo hata ushindi wa raptors jana wengi hawakubashiri ushindi kwao ila walipenda ashinde. Raptors wakishinda game 2 wanaongeza uwezekano wa kushinda series ila sio guarantee. Mfano mbichi kabisa ni wao dhidi ya milwaukee,waliongozwa 2-0,lakini wakashinda series. Gsw amewahi kuwa nyuma 3-1 dhidi ya okc ya akina kd akapindua matokeo,cavaliers pia amewahi kuwa nyuma 3-1 dhidi ya warriors akapindua hadi kushinda series.
Kwangu mimi hii series haitakuwa rahisi kwa yeyote maana bado hatujaona potential za key players wa pande zote mbili,kutakuwa na adjustment kwenye kila game kulingana na matokeo hivyo tufurahie series tofauti na miaka 3 iliyopita (gsw v cavaliers)

Kupona kwa GSWs ni KD kuwepo, waliobaki wote ukiacha DRaymond Green siyo Finals Material.

KD yuko out game 2, hivyo Toronto anaichukua game asubuhi sana, baada ya hapo tutaangalia KD anarudi akiwa KD?
 
Yamekuwa hayo tena mkuu! Sio final materials against the raptors?Curry na Klay pia sio final material? Iggy je?
Gsw wamewahi kufanya makubwa zaidi bila ya kd,hata tukipoteza game 2 bado tunaweza kushinda hii series. Rockets walikuwa wababe kuliko hawa raptors,kd hakuwepo,hilo je unalisemeaje?
 
Iggy is old now, na unaona majeruhi yanamwandama pia.

Curry na Klay hawajawahi kufanya makubwa kwenye Finals, kumbuka mwaka ambao wamechukua ubingwa Iggy was the MVP.

Tena kulikuwa na debates za kutosha ili apewe LeBron. Then 73/9 team ika choke finals, ndiyo kumchukua KD.

Kama unaangalia game ukiwa objective, utakubaliana na mimi kwamba injini ya GSWs ni DRaymond Green kama KD hayupo.

Curry will never be Finals MVP in his career.
 
Braza, he dropped 30plus points in game 1. Huoni hio ni road to mvp
 
The dynasty is almost going to an end.

KD is leaving, most likely this is their last shot.
It ain't over until it's over and the Fat Lady has sung her last.

For the Finals, it's a 7-games series. So don't count anyone out yet.

For the team, GSW is more than just an individual player. Let's just wait and see. If what you claim comes to happen, well...You'll be a seer, mate!
 
My policy is to enjoy every moment of the game, so if at the end things come up against my side, I take it.

True, it's a team game not a single person. But we see the impact when star players happen to be out.

I hope Kawhi and Siakam stay strong and take game 2 tomorrow.
 
Naona The Spurs wanamtaka Siakam and OG Anunoby as part of the Kawhi Leonard trade, Lakini Raps refused to include either player. The Spurs eventually settled on a deal for DeMar DeRozan, Jakob Poeltl and a protected first-round pick in 2019 to send Leonard and Danny Green to Toronto.
 
My policy is to enjoy every moment of the game, so if at the end things come up against my side, I take it.

True, it's a team game not a single person. But we see the impact when star players happen to be out.

I hope Kawhi and Siakam stay strong and take game 2 tomorrow.
What was UR favorite moment from Game 1?
 
Back
Top Bottom