Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Trash!!!!
Unaanzaje anzaje kumis understimate huyu MTU kama wewe sio the best hater of all the time .
Hahahahaha
Okay, so ili nisiwe hater of all time niseme huwa ananyimwa hizo Finals MVPs?
Labda nikuulize swali: Kwa nini kuliwekwa category ya Finals MVP badala ya playoffs MVP (postseason)?
Na, je kwa finals 4 zilizopita, ni ipi ambayo Curry alikuwa ni best kwenye timu yake?
Mind you, we are talking about NBA Finals MVP!