Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Unaweza niambia kwanini unamchukia steph
Maana the hate is real my man!!!
This time jamaa ameonesha ukomavu kwenye hizi Finals, tutatafuta cha kuja nacho.
Lengo ni kuwe na pande mbili za shilingi, mimi siyo muumini wa kusifu na kushangilia kile wengi wanachoshangilia, nakuwa najitahidi kupata kitu cha kunimotivate kuangalia hizi games.
Otherwise kama najua GSWs atashinda, Curry atafunga tu nyingi, kunakuwa hakuna sababu ya kuangalia game unayojua matokeo yake.
Hahahahaj utatafuta cha kuja nacho hahahahaj!!!
Next time utasema curry hawezi dunk .
Hio akiipangua utasema ayesha sio NBA wife material?
Hahahahaj nawaza tu hapa
Halafu hapo ndio nashangaa klay anakosaje all NBA teamLeo GSW tuna wakati mgumu sana...
We need Klay's role in offence+defence to win this game..!
Ngoja nisubiri nione third quarter inatuletea nini mezani..!
#DubNation
#StrengthInNumbers
Hahahahahahah .Ayesha juzi kalalamika kwamba wanaume hawamkonyezi na kumtongoza.
Ukute Steph anazingua kitandani.
Naona Vince Carter announces kwamba upcoming season will be the last of his career, Anasema "I got one more in me"Halafu hapo ndio nashangaa klay anakosaje all NBA team
The vintage astaafu tu wenzake wote wanalea wajukuu yeye yupo tuNaona Vince Carter announces kwamba upcoming season will be the last of his career, Anasema "I got one more in me"
The vintage astaafu tu wenzake wote wanalea wajukuu yeye yupo tu
Hahahahahahah .
Sasa kule marekani nani anataka mwanamke mwenye watoto .
Mi shabiki wa steph ila hapo ayesha alizingua sana .
Naamini hata steph kalimezea tu kiuanaume.
Labda ilikuwa ni marketing strategy Ila yuko msupu sio kwamba ni. MbayaYule demu ana TV show, kwa hiyo zile controversials zinamwongezea fanbase.
Labda ilikuwa ni marketing strategy Ila yuko msupu sio kwamba ni. Mbaya
Labda wanaume wa marekani wameamua kumuheshimj steph wasimchapie
OK see game 4 my man!
Hahahahaj poapoaGame 4 nitakuwa hapa kusambaza sumu kama kawaida.
We kill you at your home.
Tatizo jamaa anafunikwa sana na uwepo wa KD kwenye timu..!Halafu hapo ndio nashangaa klay anakosaje all NBA team
I bet Steve Will rush KD and Klay back from injuries for game 4.Tatizo jamaa anafunikwa sana na uwepo wa KD kwenye timu..!
Ile chemistry yake na Curry imekuwa disturbed na ujio wa KD...
We reclaimed our home court advantage.
You never beat a super team, a super team is beat by injuries.
Let's hope that Thompson and KD remains on the sideline game 4, so that we go 3 - 1.
Cc VeronicaAmadu
#teamhaters.
Hahahaha! When you beat them at their own game. Raptors wamekwenda toe to toe na three za kina Curry. Wamebaki hawaamini wanachokiona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hitimisho: hawa GSW wana intimidate sana timu kwa hizo 3's pts zao. Ikipatikana timu iseme na sisi tutapiga threes kama wao, ndio hapo mambo yanaharibika [emoji4]
Siku Njema sana kwako mkuu Don.
Let's hope that Thompson and KD remains on the sideline game 4, so that we go 3 - 1
#teamhaters.
Dont you ever forget that the team that lost today was none other than The Warriors!Anyway, he got 47 points, and the team lost! Should I cheer him for losing?
Dont you ever forget that the team that lost today was none other than The Warriors!
And don't ever forget that tonight's game was won by some team called The Raptors!
Please remember that ...thanx!