Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Unaweza niambia kwanini unamchukia steph
Maana the hate is real my man!!!
Dah, we jamaa mbona unakuwa kama siyo mshabiki wa hii michezo.
Hatutakiwi wote kuwa upande sawa, lazima kuwe na upinzani hata kama ni upinzani fake.
Anyway, he got 47 points, and the team lost! Should I cheer him for losing?