Kazee ka kuvizia cheap free throws, kanarusha tatu wakati huo kanijgonga kwenye mikono ya watu wanaokazidi nyama hili kakikosa kapewe FT uchezaji wa kihuni sana huu.Raptors 3 points hawawez na zinawafanya wahangaike sana kupata basket. Wanapata tabu sana kumkaba Curry
Baada ya kd kuumia,vijana wa warriors morale imeshuka hata kwa kuwaangalia tu.
It will buy us some time to breath!vyovyote matokeo yatakavyokuwa usiku huu lakini WARRIORS HAWACHUKUI UBINGWA...
Hapa nimebet nimempa GSW atoe over 105.5 nile mpunga wangu wa maana .
Oracle Arena again see You there hatersGame Ina Pressure Sana
Mzee shida yangu GSW atoe over 105.5 hayo mambo ya ubingwa mim ata siyajui..kikubwa nile mpunga tukwa hiyo over uliyobet unakula hiyo.. ila ushindi raptors lazima