The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

😂😂😂😂😂😂

Kazee ka kuvizia cheap free throws, kanarusha tatu wakati huo kanijgonga kwenye mikono ya watu wanaokazidi nyama hili kakikosa kapewe FT uchezaji wa kihuni sana huu.
 
Baada ya kd kuumia,vijana wa warriors morale imeshuka hata kwa kuwaangalia tu.
 
vyovyote matokeo yatakavyokuwa usiku huu lakini WARRIORS HAWACHUKUI UBINGWA...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapa nimetulia nasoma tu comments zenu...zinafurahisha aiseee!
 
Angalia Mpaka Q3 inaisha, Kawhi with just 1 point in the 3rd period. His 14 points so far have been fairly ineffective. Raps enter the final quarter of the game trailing by 6.
 
Here we go, the game is within grasp just a little bit of efforts and reduction of turnovers.
 
Back
Top Bottom