Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,728
Ndoo 3 mfululizo ? Ufafanuzi tafadhaliMambo ni zamu kwa zamu, Kawhi aende Lakers amsaidie King James kupata ndoo 3 mfululizo.
Mkubwa 190-141 ni ngapi vile?
190 over 5 years, 141 over 4 years.
Huwezi kufanya comparisons kwa vitu ambavyo vina base tofauti.
Otherwise fanya 141/4*5 = 176 ili kuwe na ulinganifu wa miaka.
Labda ufanye ku-assume kwamba ukichukua hiyo miaka minne ndiyo basi tena kucheza.
Base ni tofauti lakini bado ukweli unabaki huo Mkuu. Miaka mitano gross ni $190 millions na miaka minne gross ni $140 million. Mwaka wa tano hakuna timu itakayotaka kumpa mchezaji mwenye 32 years 38 millions kwa season moja.
James kapata, tukifanya assumption ya Kawhi kwa jinsi anavyo manage afya yake, anaweza kupata.
Very true Mkuu but 5 years in sports anything can happen. $190 millions GUARANTEED sounds much better as compared to $140 millions guaranteed.
Nimemsikiliza Steven A. Smith kwenye First Take, anasema kama Kahwi ataenda Lakers kuna haja gani ya kuangalia basketball next season? wameua competition. Nakubaliana naeNBA Finals ya mwaka huu imekuwa na more viewers than mwaka jana kwa USA, huko Canada ndio imevunja rekodi kabisa. Ni kwa sababu ya timu ya Toronto yenye super star mmoja Kahwi aliyewakimbiza wazee wa super team, ma star watano kwenye team na mmoja akikosekana wana choke to death. Ndio maana ilifana sana
Wakuu, Imekuaje Timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania imefungwa mechi zote kule UGanda kwenye mashindano ya Kanda ya tano afrika? Shida Ni Nini? Maana Wenzetu Kenya wameshika nafasi ya kwanza,ikifuatiwa na Misri, Uganda, Rwanda na mwisho Tanzania.... Kwa Nini Sababu Iwe ni Maandalizi Mabovu?View attachment 1145147
King Shaat, we had this conversation back in June, KD has left, Thompson is injured, Lakers are waiting to welcome The Klaw, a new superteam.
Where do you see GSWs in 3 years to come?
Wakuu, Imekuaje Timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania imefungwa mechi zote kule UGanda kwenye mashindano ya Kanda ya tano afrika? Shida Ni Nini? Maana Wenzetu Kenya wameshika nafasi ya kwanza,ikifuatiwa na Misri, Uganda, Rwanda na mwisho Tanzania.... Kwa Nini Sababu Iwe ni Maandalizi Mabovu?
Sasa kama waliweza kushinda bila staa hata moja, kwa nini isiwezekane kwa timu nyingine isiyo na staa hata moja? Hii inaonesha hoja ya super team is but a myth kwani pamoja na kuitwa super team, Warriors hawakuweza kutetea ubingwa. Lakini awali waliweza kutwaa ubingwa wa division bila staa, wakatwaa ubingwa wa Conference bila staa na wakatwaa ubingwa wa NBA bila staa, je hao mastaa walikuwa wapi? It is a pity kwamba hoja ninayoijenga hapa ni ngumu kueleweka; idea ya super team is but a marketing gimmick na hunasa wengi kirahisi.Ule ubingwa ndio pekee ambao niliwafurahia. They earned it. Lakini walivoshindwa kwa Lebron the following year wakaona waongeze another super star ili kumdhibiti Lebron. They killed the competition. Hivi walivobaki sasa GSW wakishinda itakua ushindi mzuri usio na kasoro, they are very good hata sasa. But it was too much the past three years with KD.
Nimemsikiliza Steven A. Smith kwenye First Take, anasema kama Kahwi ataenda Lakers kuna haja gani ya kuangalia basketball next season? wameua competition. Nakubaliana nae [emoji817] NBA Finals ya mwaka huu imekuwa na more viewers than mwaka jana kwa USA, huko Canada ndio imevunja rekodi kabisa. Ni kwa sababu ya timu ya Toronto yenye super star mmoja Kahwi aliyewakimbiza wazee wa super team, ma star watano kwenye team na mmoja akikosekana wana choke to death.[emoji16][emoji16][emoji16] Ndio maana ilifana sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Itβs too early to celebrate,
Jalen Rose: βIβm 99 per cent hearingβ Kawhi is returning to Raptors
Sitegemei kama amekwenda Toronto kuwaambia im leaving [emoji16][emoji16][emoji16] Ila jamaa anatutesa kwa kweli, nawaonea huruma wana Canada wako so stressed [emoji30]
ππππππππsijawahi kuona mchezaji aliyeumiza vichwa vingi vya wapenzi wa Basketball wakati wa usajili wa free agents miaka ya karibuni kama huyu MVP.
Sitegemei kama amekwenda Toronto kuwaambia im leaving [emoji16][emoji16][emoji16] Ila jamaa anatutesa kwa kweli, nawaonea huruma wana Canada wako so stressed [emoji30]