The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Mkubwa 190-141 ni ngapi vile?

190 over 5 years, 141 over 4 years.

Huwezi kufanya comparisons kwa vitu ambavyo vina base tofauti.

Otherwise fanya 141/4*5 = 176 ili kuwe na ulinganifu wa miaka.

Labda ufanye ku-assume kwamba ukichukua hiyo miaka minne ndiyo basi tena kucheza.
 
Base ni tofauti lakini bado ukweli unabaki huo Mkuu. Miaka mitano gross ni $190 millions na miaka minne gross ni $140 million. Mwaka wa tano hakuna timu itakayotaka kumpa mchezaji mwenye 32 years 38 millions kwa season moja.

James kapata, tukifanya assumption ya Kawhi kwa jinsi anavyo manage afya yake, anaweza kupata.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Very true Mkuu but 5 years in sports anything can happen. $190 millions GUARANTEED sounds much better as compared to $140 millions guaranteed.

Nilikuwa nasubiri uweke neno "guarantee" nitangaze kushindwa hii argument.

100% right.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Nimemsikiliza Steven A. Smith kwenye First Take, anasema kama Kahwi ataenda Lakers kuna haja gani ya kuangalia basketball next season? wameua competition. Nakubaliana nae [emoji817] NBA Finals ya mwaka huu imekuwa na more viewers than mwaka jana kwa USA, huko Canada ndio imevunja rekodi kabisa. Ni kwa sababu ya timu ya Toronto yenye super star mmoja Kahwi aliyewakimbiza wazee wa super team, ma star watano kwenye team na mmoja akikosekana wana choke to death.[emoji16][emoji16][emoji16] Ndio maana ilifana sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Swali fikirishi...hivi Warriors walipotwaa ubingwa 2014/2015 walikuwa na mastaa wangapi? Je kuna mtu aliwapa nafasi yoyote mwanzo wa season? Mimi hiyo ndiyo sababu kubwa iliyonifanya niipende Warriors.
 
Ule ubingwa ndio pekee ambao niliwafurahia. They earned it. Lakini walivoshindwa kwa Lebron the following year wakaona waongeze another super star ili kumdhibiti Lebron. They killed the competition. Hivi walivobaki sasa GSW wakishinda itakua ushindi mzuri usio na kasoro, they are very good hata sasa. But it was too much the past three years with KD.
 
Nimemsikiliza Steven A. Smith kwenye First Take, anasema kama Kahwi ataenda Lakers kuna haja gani ya kuangalia basketball next season? wameua competition. Nakubaliana nae
emoji817.png
NBA Finals ya mwaka huu imekuwa na more viewers than mwaka jana kwa USA, huko Canada ndio imevunja rekodi kabisa. Ni kwa sababu ya timu ya Toronto yenye super star mmoja Kahwi aliyewakimbiza wazee wa super team, ma star watano kwenye team na mmoja akikosekana wana choke to death.
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
Ndio maana ilifana sana
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji16.png

Whatever it takes kuimaliza GSWs Super Team.

Kawhi aende Lakers, tupate utawala mpya for atleast 3 to 5 years.

Nione wazee wa kulialia watafanyeje!
 
GSWs.jpg

King Shaat, we had this conversation back in June, KD has left, Thompson is injured, Lakers are waiting to welcome The Klaw, a new superteam.

Where do you see GSWs in 3 years to come?
 
View attachment 1145147

King Shaat, we had this conversation back in June, KD has left, Thompson is injured, Lakers are waiting to welcome The Klaw, a new superteam.

Where do you see GSWs in 3 years to come?
Wakuu, Imekuaje Timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania imefungwa mechi zote kule UGanda kwenye mashindano ya Kanda ya tano afrika? Shida Ni Nini? Maana Wenzetu Kenya wameshika nafasi ya kwanza,ikifuatiwa na Misri, Uganda, Rwanda na mwisho Tanzania.... Kwa Nini Sababu Iwe ni Maandalizi Mabovu?
 
Mimi siyo mfuatiliaji kabisa wa kikapu nchini.
 
Ule ubingwa ndio pekee ambao niliwafurahia. They earned it. Lakini walivoshindwa kwa Lebron the following year wakaona waongeze another super star ili kumdhibiti Lebron. They killed the competition. Hivi walivobaki sasa GSW wakishinda itakua ushindi mzuri usio na kasoro, they are very good hata sasa. But it was too much the past three years with KD.
Sasa kama waliweza kushinda bila staa hata moja, kwa nini isiwezekane kwa timu nyingine isiyo na staa hata moja? Hii inaonesha hoja ya super team is but a myth kwani pamoja na kuitwa super team, Warriors hawakuweza kutetea ubingwa. Lakini awali waliweza kutwaa ubingwa wa division bila staa, wakatwaa ubingwa wa Conference bila staa na wakatwaa ubingwa wa NBA bila staa, je hao mastaa walikuwa wapi? It is a pity kwamba hoja ninayoijenga hapa ni ngumu kueleweka; idea ya super team is but a marketing gimmick na hunasa wengi kirahisi.
 
It’s too early to celebrate,

Jalen Rose: ‘I’m 99 per cent hearing’ Kawhi is returning to Raptors

Nimemsikiliza Steven A. Smith kwenye First Take, anasema kama Kahwi ataenda Lakers kuna haja gani ya kuangalia basketball next season? wameua competition. Nakubaliana nae [emoji817] NBA Finals ya mwaka huu imekuwa na more viewers than mwaka jana kwa USA, huko Canada ndio imevunja rekodi kabisa. Ni kwa sababu ya timu ya Toronto yenye super star mmoja Kahwi aliyewakimbiza wazee wa super team, ma star watano kwenye team na mmoja akikosekana wana choke to death.[emoji16][emoji16][emoji16] Ndio maana ilifana sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
It’s too early to celebrate,

Jalen Rose: ‘I’m 99 per cent hearing’ Kawhi is returning to Raptors

Sitegemei kama amekwenda Toronto kuwaambia im leaving [emoji16][emoji16][emoji16] Ila jamaa anatutesa kwa kweli, nawaonea huruma wana Canada wako so stressed [emoji30]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂sijawahi kuona mchezaji aliyeumiza vichwa vingi vya wapenzi wa Basketball wakati wa usajili wa free agents miaka ya karibuni kama huyu MVP.

Nikiona notification yako kwamba umereply kwenye huu uzi nafungua haraka nikijua tayari.
 
Sitegemei kama amekwenda Toronto kuwaambia im leaving [emoji16][emoji16][emoji16] Ila jamaa anatutesa kwa kweli, nawaonea huruma wana Canada wako so stressed [emoji30]

Mimi nimechoka kurefresh ESPN kuhusu issue ya huyu mtu, maana namsubiri ajoin Lakers ili nijoin, maana nina uhakika huo utakuwa ndiyo mwisho wa GSWs, ingawa pia kiushindani siyo powa.
 
Back
Top Bottom