Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Aisee naamini itarudi kabisa tena na hivi wana msaada wa kutosha tu kutoka kwa kingi hata kama itachukua muda
Natamani kuiona hii duo ikirudi, impe ring moja LeBron.
Rondo awe starter msimu huu, na asipate majeruhi, Lakers watatisha sana.
Natamani kuiona hii duo ikirudi, impe ring moja LeBron.
Rondo awe starter msimu huu, na asipate majeruhi, Lakers watatisha sana.
Sio LeBron ndio awape ring?
Itakuwa bomba sana Clippers, Lakers na Houston wote wawe healthy this coming season. Basketball tutakayoiona itakuwa ya kukata na shoka but IMO advantage Clippers. East hakuna kitu kama Bucks watabaki kama walivyo basi ni midabwada tu Western Conference especially kwa timu hizo tatu.
ole wake kama wewe hujafika 6ft urefu uchangie huu uzi
walio below 5ft mna thread yenu kuleee ya wacheza Golf
Mtu upo size ya steve nyerere halafu una comment nini kwenye huu uzi?
Mtu unalingana na Jaba unataka kutuambia nini?
Tafuta vitu vingine vya kushabikia
Heee! Clippers kashinda?
Lakers tatizo ni nini?
AD na Lebron hawakucheza?
Wadau naona azam Wa channel ya ESPN,tutaona nna?
Mambo vipi wakuu? Wahenga walisema “kila zama na kitabu chake”. Nimekutana na hii table nimeshindwa kuamini!!! Kweli nimeamini hakuna marefu yasiyo na mwisho, nothing lasts forever.
View attachment 1270764
Majeruhi yanawaandama sana
Walitesa sana wenzao nao zamu yao kuwa shamba la bibi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wajipange upya, zama zao zimepita. Maisha haya! [emoji1438]♂