VeronicaAmadu
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 310
- 380
Wadau mpo? Heri ya mwaka mpya Wadau wa basketball. Tumempoteza GOAT mtaalamu Kobe Bryant! Binafsi nimeumia sana! Sijui cha kusema kabisa bado naona kama ni ndoto! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]